Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Kenya mpo ,Tanzania rasmi ndani ya Afrika imepeleka timu kubwa mbili toka Derby ya kariakoo yaani Young Africans na Simba
Kuna wakati lazima usemwe Tanzania ndio Giant ya mpira kwa sasa Africa
Ndugu zetu wakenya msione aibu kuja Dar es Salaam kujifunza mbinu
😃Wakenya wanasema Yanga na Simba ni timu zao
Wanariadha wapo kibao tu wanaishia kushinda kwenye vibanda vya kubet,Sema na wao kwenye riadha wametuacha mbali
Mbona unatumia nguvu nyingi kutetea?😎Sema na wao kwenye riadha wametuacha mbali
Tuboreshe kwenye marefa wetu sasa, ili timu zijitume zaidiIla ujue tukiweka ushabiki kando, hiki ni kitendo chenye maana kubwa sana.
Imagine derby yetu bongo ni moja kati ya derby maarufu afrika, and yet timu zote zimetinga robo final kwa kinshindo kikubwa sana ,aisee, hii sio ya kubeza.
Wewe umeona nguvu gani hapo?Ukweli ni ukweli mbaya uongo.Mbona unatumia nguvu nyingi kutetea?😎
Tunaongelea mambo ya mpira wewe unaanza oh riadha sijui nini; una akili kweli?Wewe umeona nguvu gani hapo?Ukweli ni ukweli mbaya uongo.
basi si mushinde kombe, sio kila mwaka mnakua wasindikizaji tu. hebu jitathminiIla ujue tukiweka ushabiki kando, hiki ni kitendo chenye maana kubwa sana.
Imagine derby yetu bongo ni moja kati ya derby maarufu afrika, and yet timu zote zimetinga robo final kwa kinshindo kikubwa sana ,aisee, hii sio ya kubeza.