Wakenya tumewaacha sana kimpira,Yanga na Simba zipo quarter Final CAF championship

Wakenya tumewaacha sana kimpira,Yanga na Simba zipo quarter Final CAF championship

Tuboreshe kwenye marefa wetu sasa, ili timu zijitume zaidi
mkuu, hata kwenye afcon, hakukua na mtanzania hata mmoja aloitwa,,, inasikitisha sana
FB_IMG_1709468551587.jpg
 
Mashemeji zetu tuwaache tu!wanachanja sana miraa tizi hawaend!!
 
Lakini wanatumbia watanzania hatujui ingilishi hata huko robo fainali tumefikiaje?🤣🤣🤣🤣
MPo msiojua kama ambavyo wapo Wakenya wasiojua. Na wakenya hawana kiingereza cha kujisifia. Wanajisifia kwenu msiojua kiingereza. Otherwise hamna mwenye akili timamu anaweza ringia lugha iwe yake au si yake.
 
Back
Top Bottom