Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
sio kivuko cha kwenda Ununio, ni kivuko kama gesti za mjini, from Dar to Dar. Na kile kivuko is from ferry to ferry full stopIla ole wako uzungumzie kivuko kwa kwenda Ununio, hapa watazaa na wewe. Ogopa kama ukoma watu wanaopenda kusifiwa tu na sio kukosolewa. Ogopa kweli kweli.
[HASHTAG]#freemaxdemello[/HASHTAG][HASHTAG]#freemaxdemello[/HASHTAG]
Lakini pia tunafaa kuheshimu dola na mamlaka zetu......
Kwa sasa Kenya tunasubiri wapinzani waibuke na UKAWA wao ndio pawe patamu kisiasa. Wapo kwenye mazungumzo, wanaandaa kitu kinaitwa NASA, ambacho kinategemewa kuwaunganisha wapinzani wote. Tatizo lipo nani ataachiwa awe ndiye kama walivyofanya mwaka wa 2002.
Mimi naona kama Ben saa nane siyo mjinga kama unavyo mdhania kwasababu ameibua changamoto muhimu tunapoelekea katika mchakato huu wa kuhakiki elimu za Watumishi wa umma.Usimfananishe Maxence Melo na huyo mjinga! Kwanza ana kipi cha ziada hadi serikali iangaike naye?
Kwamba huenda hata viongozi wanaosimamia zoezi la uhakiki wana vyeti feki, hebu emagine unakutana na kiongozi mwenye PHD hawezi hata akajieleza vizuri yaani kiswahili kibovu na kiingereza kibovu pia na kavichanganya katika maongezi yakeChangamoto ipi kwa mfano?
Wanyakyusa ni wadogo sana kiidadi. Wako wilaya mbili tu za Kyela na Rungwe. Lkn Wasukuma wako mikoa mitatu ya Mwanza Shinyanga na Tabora.Mimi na mtazamo tofauti kidogo na wewe, tukianzia kwa wasomali, wasomali wanachinjana kwasababu ya tamaa ya pesa. Wasomali wengi wanapenda pesa kuliko kitu kingine chichote, hakuna wa kumuachia mwingine na yeye ale. Kwa wao kabila moja, lugha moja na dini moja havija saidia kudumisha umoja wao, tamaa ya mali na pesa ndio inawatafuna Wasomalia. Naamini vita itaendelea hadi pale kizazi kilicho jaa ubinafsi na kupenda mali kita kufa na kupote. Somalia needs new breed of youth who are less selfish and more progressive.
Wakoloni kuipa kabila dogo utawala hauchangii kupunguza ukabila, Rwandan waliwachia kabila dogo kutawala, Zanzibar na wao hivyo hivyo, South Africa na wao waliwapa wazungu wachache. Sisemi kama huko hakuna ukabila, lakini kama ukipata kiongozi anayeweza kuunganisha makabila bila kujali maslahi yake binafsi au ya kabila lake, ukabila utapungua kwa asilimia kubwa sana katika nchi hiyo. Nyerele came from very small tribe, lakini alijitahidi kumpa kila mmoja nafasi japo kuna wengine waliona wanatakiwa kupewa zaidi. Mwisho wa siku alifanikiwa na kuacha Tanzania ikiwa na sura ya umoja. FYI wachanga sio kabila kubwa Tanzania, ni kabila dogo sana, usidanganyike kwa kuwaona wao kila upande wa nchi, huwezi kuwalinganisha na Wasukuma au Wanyakusa.
Labda hapo juu nilizunvumzia wanyakusa kama kabila bila kusema mkoa mzima wa Mbeya, Mbeya na vitongoji vyake Kuna makabila ya wasafwa, wanyakyusa na wanyiha bila kusahahu wamalawi na wazambia waliojichomeka kwenye jamii. Kama ilivyosema wasukuma wamwtalaka mikoa mitatu lakini hiyo mikoa ina makabila mengine kama wanayamwezi, wasumbwa nk. Mara ya mwisho sensa ili iliweka kuna watu zaidi ya million mbili na nusu katika mkoa wa Mbeya. Lakini sense yetu zinaangalia zaidi idadi ya watu wa eneo fulani bila kujali kabila zao japo swali la kabila ya mtu lipo kwenye sensa.Wanyakyusa ni wadogo sana kiidadi. Wako wilaya mbili tu za Kyela na Rungwe. Lkn Wasukuma wako mikoa mitatu ya Mwanza Shinyanga na Tabora.