mbaya zaidi hawawekezi hapa nchini, wao wanaenda kuficha nje ya nchi.........kwa ufisadi Tanzania inaongoza Africa 100%. mimi pia nimezaliwa Tanzania najua viongoz wa kule Tanzania ni mafisadi kweli kweli sawa na brazil hakuna tofaut kwa ufisadi
Ninyi wakenya tumewaoa leo hata siku hazijapita mmeanza kidomodomo??
Sasa kwanini hazikuingizwa kwenye bajeti tujue kimetumika kiasi gan cha pesa?kama kweli kuna nia njema basi bunge lingeidhinisha then tungejua garama halisi ya hivo vitu vyote juu,,,,lakin kwann wafanye kwa siri,huon kama wanapofanya hivyo wanaweza kuwa wamepiga na cha juuPimbi kweli wewe. Kuna Bombardier Q 400 =3. Kuna bombardier CS 300 = 2. Kuna Boeing 787-8 Dreamliner =1. Ujenzi wa majengo wa magereza. Ujenzi wa majengo ya Magomeni kota. Chato uwanja wa ndege. Ujenzi wa ofisi ya waziri mkuu. Ujenzi ikulu ya raisi. Ununuzi wa rada 60.% serikali kuu. Dodoma kuna majengo ya wizara mbali mbali bado unaendelea
Hakuna fisadi aliyechota 1.5 trillion. Kwenye report ya CAG hakuainisha:
1. Manunuzi ya ndege
2.Ujenzi wa majengo ya serikali unaoendelea Dodoma.
3. Ununuzi wa Rada
4. Ujenzi wa majengo ya Magereza na Magomeni Kota
5. Ununuzi wa vichwa vipya vya treni.
Nipesa ambayo haikuanishwa kwenye report ya CAG lakini îmetumika kwa masilai ya nchi.
CAG amesema pesa ilitumika katika maeneo mengine ya serikali.
Wapinzani wanatafuta pakushika.
Sababu ya wasaliti kama tudu lissu na wapinzani wengine ambao hawana haya ya kuzinadi siri na strategy za kufufua shirika la ATCL. Wabunge wengine huwa na nia mbaya sanaSasa kwanini hazikuingizwa kwenye bajeti tujue kimetumika kiasi gan cha pesa?kama kweli kuna nia njema basi bunge lingeidhinisha then tungejua garama halisi ya hivo vitu vyote juu,,,,lakin kwann wafanye kwa siri,huon kama wanapofanya hivyo wanaweza kuwa wamepiga na cha juu
Weka uzalendo mbele tumbo nyuma hizo buku 7 zitakusaidia nn? Je ziliidhinishwa na bunge? Risiti zake ziko wapi? Toa fact to fact tuelewe nyie wasemaji wa jiwe.Kila mmoja anakuja kivyake kafulia wanasema hivi,slow anasema hivi.Hakuna fisadi aliyechota 1.5 trillion. Kwenye report ya CAG hakuainisha:
1. Manunuzi ya ndege
2.Ujenzi wa majengo ya serikali unaoendelea Dodoma.
3. Ununuzi wa Rada
4. Ujenzi wa majengo ya Magereza na Magomeni Kota
5. Ununuzi wa vichwa vipya vya treni.
Nipesa ambayo haikuanishwa kwenye report ya CAG lakini îmetumika kwa masilai ya nchi.
CAG amesema pesa ilitumika katika maeneo mengine ya serikali.
Wapinzani wanatafuta pakushika.
Yapi hayo yasiyoonekana kwenye ripot. Hela zetu zile ujue? Mchezeee za mama zenu wakiuza sangara sio zetu bwashee.Tunataka majibu Hoja kwa Hoja sio Hoja kwa pyuuu pyuu haisaidii.Pesa imetumika katika matumizi mengine ya serikali. Pili kwani Chato sio Tanzania.?? Hivi utaweza mtibu jirani yako kabla ujajitibu wewe ??
Tumbo kakamimi huwa najiuliza hao wateteaji wanafaidika na nni???.......
yan waafrika kama tumelogwa flani hivi
Jaribuni na nyie kutusemea labda hili jamaa linaweza kusikiaduh,hii hela ndefu mno kwa nchi iliyo na umaskini wakutisha...mnatafunwa ovyo sana na hapa kazi tuu.poleni sana 😱
We Uko nchini kweli MBONA ilishajitoa kwenye kujiendesha kiuwazi,bunge live limezuiwa,kuuwa upinzani ili wasipatikane watu wa kuhoji,ili tuibiwe sawasawa,ndo maana fuko anakaa nalo mwanaziara za kushtukiza mbele ya macamera,Kupitishwa kwa matumizi kwa bunge ni muhimu lakini matumizi yasio pitia bunge hayafai kusingiziwa kwamba ni ufisadi.
Tanzania ipo ligi moja na china/rwanda katika uwazi wa matumizi ya bajeti..Kumbuka hizi nchi mbili zipo katika top ten ya nchi ambazo ufisadi upo chini zaidi. Kuna mambo mengi na tofauti ambayo hufanya serikali isipitishe matumizi kwa bunge moja wapo ikiwa ni National security na ingine ikiwa ni matumizi kwa shirika la serikali ambalo linakumbwa na ushidani mkubwa kwenye soko la kimataifa na nimuhimu washindani wasijue strategy ya serikali.
Open Budget Index Rankings | Open Budget Survey | IBP
Huu Ushahidi ni wa kisengerema kbs,lakin hatuwezi kuwalaumu sana labda na ww kadamu ka 1.5trilion kamekumwagia ndio sababu upo busy kuteteaHakuna ufisadi wa pesa. Pesa zimetumika katika matumizi mengine ya serikali. Ununuzi wa ndege na ujenzi wa baadhi ya majengo na miundombinu haikupitishwa na bunge. Magufuli hasubuli mambo ya bunge kuizinisha mala mchakato. Hizn habari tumeachana nazo. Watu wamekuwa wakiingilia bunge kukwamisha juhudi ya serikali. Tena wengine kutoka mataifa ya nje. Kwa sasa Magufuli ndo waziri wa pesa na matumizi ya nchi. Nchi inasonga mbele mtake msitake
Heri hata ya za awamu iliyopita zikipigwa juu tunanufaika wote hadi sie waosha Magari, na mashoe shine keep chenji zilikuwa za kutosha, lkn akitawala Mkristo huwa hazifiki chini zikipigwa juu wa juu ndo ufaidika.kwa ufisadi Tanzania inaongoza Africa 100%. mimi pia nimezaliwa Tanzania najua viongoz wa kule Tanzania ni mafisadi kweli kweli sawa na brazil hakuna tofaut kwa ufisadi
Trump's word,check this shiit,African leader's are most corrupt people they steal from they are poor citizens and keep in foreign country. Shiit hole country!!mbaya zaidi hawawekezi hapa nchini, wao wanaenda kuficha nje ya nchi.........
wangejenga viwanda/miradi hapa hapa home uchumi wetu ungekua mkubwa sana, na ajira zingekuepo!
Ili uzipige sawa sawa.yaani mpaka apeleke mswada bungeni???bunge lenyewe limejaa vilaza tu!!yaan kama mi ndo raisi nigekifutilia mbali na kibunge chenyewe..
Hakuna ufisadi wa pesa. Pesa zimetumika katika matumizi mengine ya serikali. Ununuzi wa ndege na ujenzi wa baadhi ya majengo na miundombinu haikupitishwa na bunge. Magufuli hasubuli mambo ya bunge kuizinisha mala mchakato. Hizn habari tumeachana nazo. Watu wamekuwa wakiingilia bunge kukwamisha juhudi ya serikali. Tena wengine kutoka mataifa ya nje. Kwa sasa Magufuli ndo waziri wa pesa na matumizi ya nchi. Nchi inasonga mbele mtake msitake
lile nalo bunge bwana???upuuzi tu!!Ili uzipige sawa sawa.
68B Yaweza kujenga Thika super highways mbiliNimefuatilia ripoti ya mbunge wa Tanzania anayeitwa Zitto Kabwe, ameeleza neno kwa neno jinsi hela ndefu sana (Tshs 1.5 trillions au Kshs 68 billions) zimechezwa Tanzania. Anaeleza jinsi wamelipa madeni hewa na ukiukwaji wa hatua zote za shria za manunuzi.
Sasa binafsi kuna siku nilikua nawaza labda rais Uhuru aache kusubiri taasisi za kupambana na ufisadi, amuige Magufuli na kufanya zile show za kutembea na wanahabari na kushtukiza shtukiza watu maofisini, labda zitapunguza ufisadi Kenya, kila siku akiamka awe anawaza leo atshtukiza wapi.
Lakini kwa hayo yanayotokea Tanzania, ni wazi huo mfumo wa kuwaibukia ibukia watu maofisini sio suluhu, mwafrika ni mfupa uliomshinda fisi, haachi asili ya kifisadi hata upige makelele vipi. Nchi maskini halafu unaitapeli 1.5 trillion, utawaacha mifupa wazi.
Zitto Kabwe ameeleza kwenye huu uzi hapa Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa