Wakenya tunajifunza nini kutokana na taarifa kwamba mafisadi wamechota 1.5 trillions Tanzania

Wakenya tunajifunza nini kutokana na taarifa kwamba mafisadi wamechota 1.5 trillions Tanzania

Unampa nani pole wakati hiyo pesa imetumika kununua ndege pamoja na ujenzi wa majengo ya Dodoma. Pole umesikia tumefiwa
Ccm wanakulipa pesa ngapi kutetea huu uovu? 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ccm wanakulipa pesa ngapi kutetea huu uovu? 😀😀😀😀😀😀😀😀
We acha bana. Eti alipwe pesa? Gani hizo? Labda wanampa juisi na pipi kila mwisho wa wiki. Jombaa, tunabana matumizi buana. [emoji23]
 
Majibu Mujarabu ya 1.5trilion
IMG-20180420-WA0066.jpg
IMG-20180420-WA0067.jpg
IMG-20180420-WA0068.jpg
tapatalk_1524211522529.jpeg
 
Leo ikulu DSM ,Rais Magufuli wakati anawaapisha majaji wapya

CAG na Katibu mkuu wizara ya fedha wamesema hakuna pesa iliyoibiwa
 
Hakuna ufisadi wa pesa. Pesa zimetumika katika matumizi mengine ya serikali. Ununuzi wa ndege na ujenzi wa baadhi ya majengo na miundombinu haikupitishwa na bunge. Magufuli hasubuli mambo ya bunge kuizinisha mala mchakato. Hizn habari tumeachana nazo. Watu wamekuwa wakiingilia bunge kukwamisha juhudi ya serikali. Tena wengine kutoka mataifa ya nje. Kwa sasa Magufuli ndo waziri wa pesa na matumizi ya nchi. Nchi inasonga mbele mtake msitake
Kuondoa utata wa jibu lako unalorudia kila mala. Toa takwimu za gharama za manunuzi unayoongelea ili zifikie 1.5tr.

Maana majibu ya serikali hayajataja BOMBADIA WALA MAJENGO KAMA AMBAVYO CAG HAKUVITAJA. ....
 
Pimbi kweli wewe. Kuna Bombardier Q 400 =3. Kuna bombardier CS 300 = 2. Kuna Boeing 787-8 Dreamliner =1. Ujenzi wa majengo wa magereza. Ujenzi wa majengo ya Magomeni kota. Chato uwanja wa ndege. Ujenzi wa ofisi ya waziri mkuu. Ujenzi ikulu ya raisi. Ununuzi wa rada 60.% serikali kuu. Dodoma kuna majengo ya wizara mbali mbali bado unaendelea
Rada haipo kwenye hesaba za CAG?

HAYA KOKOTOA KWA KUONYESHA GHARAMA ZA KILA MRADI ili jumla ziwe 1.5 tr. Kumbuka waziri kajibu tofauti na wewe.
 
Rada haipo kwenye hesaba za CAG?

HAYA KOKOTOA KWA KUONYESHA GHARAMA ZA KILA MRADI ili jumla ziwe 1.5 tr. Kumbuka waziri kajibu tofauti na wewe.

Hehehe! Lumumba walifaa kukusanyika sehemu waandae jibu moja, maana wote kwenye mitandao kila mmoja ana jibu la kwake ambalo analitetea kwa povu.
 
Back
Top Bottom