Wakenya tunajifunza nini kutokana na taarifa kwamba mafisadi wamechota 1.5 trillions Tanzania

Unampa nani pole wakati hiyo pesa imetumika kununua ndege pamoja na ujenzi wa majengo ya Dodoma. Pole umesikia tumefiwa
Ccm wanakulipa pesa ngapi kutetea huu uovu? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ccm wanakulipa pesa ngapi kutetea huu uovu? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
We acha bana. Eti alipwe pesa? Gani hizo? Labda wanampa juisi na pipi kila mwisho wa wiki. Jombaa, tunabana matumizi buana. [emoji23]
 
We acha bana. Eti alipwe pesa? Gani hizo? Labda wanampa juisi na pipi kila mwisho wa wiki. Jombaa, tunabana matumizi buana. [emoji23]
Wanabana matumizi alafu matrilioni zinaenda na wajanjaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bila shaka MK254 umeona majibu, kama ushakuwa programmed kuwa pesa zimepotea kama nyumbu huwezi kuamini.
Kumbe ni siasa tu! Na jamaa analeta Hoja hapa eti 1.5 tn Zimeliwa...Wapinzani kweli wamekosa hoja wanatapatapa tu kama wafamajiπŸ˜€πŸ˜€
 
Leo ikulu DSM ,Rais Magufuli wakati anawaapisha majaji wapya

CAG na Katibu mkuu wizara ya fedha wamesema hakuna pesa iliyoibiwa
 
Kuondoa utata wa jibu lako unalorudia kila mala. Toa takwimu za gharama za manunuzi unayoongelea ili zifikie 1.5tr.

Maana majibu ya serikali hayajataja BOMBADIA WALA MAJENGO KAMA AMBAVYO CAG HAKUVITAJA. ....
 
Rada haipo kwenye hesaba za CAG?

HAYA KOKOTOA KWA KUONYESHA GHARAMA ZA KILA MRADI ili jumla ziwe 1.5 tr. Kumbuka waziri kajibu tofauti na wewe.
 
Rada haipo kwenye hesaba za CAG?

HAYA KOKOTOA KWA KUONYESHA GHARAMA ZA KILA MRADI ili jumla ziwe 1.5 tr. Kumbuka waziri kajibu tofauti na wewe.

Hehehe! Lumumba walifaa kukusanyika sehemu waandae jibu moja, maana wote kwenye mitandao kila mmoja ana jibu la kwake ambalo analitetea kwa povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…