joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Na mimi ninahisi hivyo hivyo, ila haijaipuku kwa njaa, mauaji ya wananchi yanayofanywa na polisi, unemployment, poverty and tribalism, wasalimie huko Kibera.Kibera? Nipo mbali sana na Nairobi lakini nahisi hata Kibera imeipiku tz kwa demokrasia. Teh teh.😀
daah hapa ndio naamini shule ni muhimuAcha unafiki wewe!
Umekaririshwa hivyo?
Mbona Maaskofu wanaposema Mheshimiwa kuwa chaguo la Mungui huji hapa na kusema "Unajua madhara ya kusema Siasa Kanisani?"
Kwako wewe siasa huja pale viongozi wa dini wakisema Negatively tu?
Wakisema Positive mko kimya!!!
Acheni Unafiki!
acha porojo. Bennauawe, azory auawe, lisu apigwe risasi eti wahubiri wasekemee hali hiyo, acha porojounajua madhara ya siasa kwenye dini?
unajua madhara ya dini kwenye siasa?
Watch out what is happening in Central Africa Republic,Myamar Nigeria Israel Palestine and else where
Acga dini iwe dini na siasa iwe siasa vinginevyo harufu chafu itaanza kusikika soon na hatakuepo wa kuicontrol
Lissu pia yupo mitaa ya Kibera? Sidhani ni wakenya ndo walimgeuza kichungi kwa mtutu wa bunduki. Kuna tetesi flani nilisikia, kwamba jua likitua Kibera huwa ni ya watz. Yaani washika doria kwa rungu wote ni watz, kina Lepatit na Lemalon ndugu zenu kutoka Oldonyo Lenkai, afu wanalipwa kwa hela za usalama wanazotozwa wakazi wote wa Kibera. Nikifika Nai ntachunguza madai hayo kisha ntarudi na mrejesho.Na mimi ninahisi hivyo hivyo, ila haijaipuku kwa njaa, mauaji ya wananchi yanayofanywa na polisi, unemployment, poverty and tribalism, wasalimie huko Kibera.
kla ktu kna protocali zake beni akiuwawa mahakama zipo kashtakacha porojo. Bennauawe, azory auawe, lisu apigwe risasi eti wahubiri wasekemee hali hiyo, acha porojo
Tunajua kinachoendelea lazima tukemee maana mahakama amezinyamazisha, kila kitu amekiua, lazima kusema kuwa azory yuko wapi...kla ktu kna protocali zake beni akiuwawa mahakama zipo kashtak
lisu akipigwa bomba kama umamjua alyempiga akatoe ushahid mahakamani sio kuropoka kwenye madhabahu kule kunatakiwa mazungumzo ya kimungu sio politics ushaambiwa huo ni mchezo mchafu
sasa bro kama unajua alipo azory c utuambie? then kama unamjua exactly aliyemuua tuwekee hapa tumjue ili rupate pa kuanzia hatutak habar za redio za mbaoTunajua kinachoendelea lazima tukemee maana mahakama amezinyamazisha, kila kitu amekiua, lazima kusema kuwa azory yuko wapi...
Ukiambiwa ukatubu hiyo imekuwa siasa,Siasa kuingia makanisani ni very dangerous,nyie wakenya siasa zenye ukabila ndio zinawasumbua kila kukicha,Tanzania hatutaki siasa zenye udini zipate nafasi hatuna ukabila ss so hatuna siasa zenye ukabila ,wala udini.Lazima tu separate hivyo vitu na siasa
Malimbukeni, washamba ndiyo wanaokimbilia madaraka waongoze nchi.Done
Vipi kuhusu wewe na wazazi wako nani mshamba?Malimbukeni, washamba ndiyo wanaokimbilia madaraka waongoze nchi.
Outcomes zake ndiyo hizi
PombeVipi kuhusu wewe na wazazi wako nani mshamba?
Kwahiyo wazazi wako ni Pombe. Hii yote ni reflection ya kukosa malezi kutoka kwa wazazi. Adabu haiuzwi.Pombe
Ninadhani zitabaki kuwa tetesi tu, haiwezekani watanzania kuishi katika hayo mabanda ya kibera, kwasababu hata mabanda wanapoishi nguruwe wangu ni bora kuliko hayo ya Kibera, wanaoweza kuishi maisha hayo ni wakenya tu. Jacob Juma, Cris Msando, Makaburi, huyo pandre aliyeuliwa kwa kutetea mauaji ya wapinzani,, the list is endless......Lissu pia yupo mitaa ya Kibera? Sidhani ni wakenya ndo walimgeuza kichungi kwa mtutu wa bunduki. Kuna tetesi flani nilisikia, kwamba jua likitua Kibera huwa ni ya watz. Yaani washika doria kwa rungu wote ni watz, kina Lepatit na Lemalon ndugu zenu kutoka Oldonyo Lenkai, afu wanalipwa kwa hela za usalama wanazotozwa wakazi wote wa Kibera. Nikifika Nai ntachunguza madai hayo kisha ntarudi na mrejesho.
Lol! Hii rivalry ya Kenya na tz ni nzuri sana maana inawapotezea wanahabari umakini wa kuandika habari, badala yake wanajikita kwenye kutetea nchi zao!Juzi Afrika Kusini rais Uhuru ametunukiwa tuzo la Mandela la mwanademokrasia bora Afrika, hiyo ni baada ya yeye kukubali uamuzi wa mahakama wa kubatili ushindi wake wa awali. Japo aliishia kutema cheche dhidi ya mahakama, lakini hilo tukio la yeye kukubali kurudia uchaguzi, lilipongezwa na wengi.
Sasa nasoma taarifa kwamba makanisa ya Bongo yaweza kufungwa iwapo yatajadili siasa za nchi. Hii ni baada ya mhubiri Kakobe kukosoa uongozi wa sasa. Mambo mengine kama haya yawe fundisho kwetu kwamba tulitoka mbali sana, leo hii hapa Kenya tuna hata wahubiri waliochukua milengo ya kisiasa kabisa, unakuta mhubiri ni wa mlengo wa upinzani kwa kwenda mbele na hakomi kuikosoa serikali kila uchao lakini anapeta tu.
Viongozi wetu wa siasa kila wakialikwa makanisani wanapiga siasa hadi mahubiri yanakosa nafasi, na hii ni desturi ya kila Jumapili.
Lakini siwezi nikasema sana maana sijui serikali ya Tanzania ilifiakiaje maamuzi hayo, maana pia ustawi wa nchi ni jambo la msingi, kukosoa hakufai upite mpaka, unafaa ukosoe ukiwa na nia ya kujenga na sio kubomoa. Kuna watu wakianza kuropoka kwenye vipaza sauti watasema hadi utadhani wamelewa
-----------------------------------------------------------------------
- Tanzanaian churches face being deregistered if their leaders voice their opinions on the country's - This came after a renown bishop accused President Magufuli of turning the country into a one-party state and becoming authoritarian - Magufuli denied this but several newspapers and citizens were previously jailed for insulting or speaking out against the leader Tanzania President John Pombe Magufuli made international news when he threatened to close down churches criticizing him. The threat was made after a Pentecostal cleric, Zachary Kakobe, used a Christmas sermon to bemoan how Tanzania was turning into a one-party state by banning political activity.
According to a report by the BBC on Friday, December 29, the Home Affairs Ministry later issued the threat, warning religious institutions against getting involved in political affairs. Read more: Magufuli threatens to close Tanzanian churches days after wining global award
Lol! Hii rivalry ya Kenya na tz ni nzuri sana maana inawapotezea wanahabari umakini wa kuandika habari, badala yake wanajikita kwenye kutetea nchi zao!
Hilo tishio halikutamkwa na magufuli, ila ni naibu waziri wa home affairs. Ndo maana vyombo vinavyojua maadili ya kazi zao kama bbc, ambao hata huyo mwandishi amewanukuu waliandika kuwa "Tanzania yatishia kufungia makanisa " Tanzania threatens to shut churches
Sasa wakenya kwa kuwa magufuli anawanyoosha na amekuwa tishio kwenu, chochote kinachotokea tz basi wao wanamjua magufuli tu, hata aseme mkuu wa mkoa! Waandishi wa habari wa hovyo kabisa tunawashuhudia kutoka Kenya.
Pamoja na maoni yangu hapo juu, binafsi sikubaliani na kauli ya huyo naibu waziri. Wawaache watu wajadili siasa watakavyo kama hawavunji sheria za nchi. Wasitake kusifiwa tu kila mda, kama ni hivyo, hata wanaowasifia huko kanisani nao wawazuie. Ukweli kwenye hili serikali ya magufuli inapwaya. Warekebishe hii tabia inakera.
Mwisho ndugu yangu MK254 ni kuhusu hii tuzo ya Nelson Mandela. Najua na wewe unafaham kuwa tuzo ya jumla ni ile ya AMANI ambayo magufuli aliibuka kidedea. Hii aliyochukua uhuru ya demokrasia iko kwenye kundi ya tuzo ndogo ndogo, haina tofauti na aliyoshinda Nkurunzinza, rais wa Chad, Mahakama kuu ya Kenya, Mkuu wa majeshi wa zimbabwe ambaye amekuwa makamu wa rais, Mwandishi wa habri ambaye pia ni mwanaharakati kutoka misri na wengine! Kwa hiyo kidedea hapa kwenye hizi tuzo za mandela ni Magufuli.
Hata hivyo, hilo tamko la NW halikuwa zuri kipindi hiki ambacho rais amemaliza kupata tuzo.
after all kwani siasa ni shetani kwamba ina ugomvi na kanisa,we have been brainwashed hivyo kuwa siasa na dini ni west and east kitu ambacho sio kweliAcha unafiki wewe!
Umekaririshwa hivyo?
Mbona Maaskofu wanaposema Mheshimiwa kuwa chaguo la Mungui huji hapa na kusema "Unajua madhara ya kusema Siasa Kanisani?"
Kwako wewe siasa huja pale viongozi wa dini wakisema Negatively tu?
Wakisema Positive mko kimya!!!
Acheni Unafiki!
Kuandika kwenyewe hujuisasa bro kama unajua alipo azory c utuambie? then kama unamjua exactly aliyemuua tuwekee hapa tumjue ili rupate pa kuanzia hatutak habar za redio za mbao
Mana nashangaa mara serikali who is serikali? na kama ndivyo huyo bwna serikali alimuua lini na wapi na uliona? na kama huwezkujibu haya tutaendeleaje kukuamini?