MK254,
Magufuli ameshnda tuzo la amani, ni kipi amekifanya ambacho kimehusshwa na amani, ni kwa ajili ya ndani ya nchi? Au Afrika au wapi. Nitakua nyuma nimeachwa na hizo habari...
Comming soonSiasa kuingia makanisani ni very dangerous,nyie wakenya siasa zenye ukabila ndio zinawasumbua kila kukicha,Tanzania hatutaki siasa zenye udini zipate nafasi hatuna ukabila ss so hatuna siasa zenye ukabila ,wala udini.Lazima tu separate hivyo vitu na siasa
daah kumbe mnaowaza kwa kitumia WOWOWO bado mpo?Kuandika kwenyewe hujui
Si tetesi. Mitaa kibao tu ya Eastlands Nairobi huwa ina walinda lango na washika doria wamaasai wa kitz. Kuna wakati gavana wa sasa wa Kiambu Baba yao au ukienda Ferdinand Waititu alifikishwa mahakamani kwa matamshi yake dhidi ya watz. Alipokuwa mbunge wa Embakasi, Nairobi alitamka haya maneno mbele ya umati. 'Wamaasai wote Embakasi warudi kwao tz'. Kisha akasema walimnukuu vibaya na eti alisema masaa hii Embakasi imekuwa tz. Hehehe, haina presha lakini acha ndugu wachape kazi.Ninadhani zitabaki kuwa tetesi tu, haiwezekani watanzania kuishi katika hayo mabanda ya kibera, kwasababu hata mabanda wanapoishi nguruwe wangu ni bora kuliko hayo ya Kibera, wanaoweza kuishi maisha hayo ni wakenya tu. Jacob Juma, Cris Msando, Makaburi, huyo pandre aliyeuliwa kwa kutetea mauaji ya wapinzani,, the list is endless......
We malaya jiheshimi ,acha kushobokea wanaume malijari wenye uwezo Wa kukutatua malindadaah kumbe mnaowaza kwa kitumia WOWOWO bado mpo?
jina lako lenyewe limekaa kifacebook, nenda unakostahili huku ni kwa baba zako
Waache hawa wakenya, watakula demokrasia yao.
Hivi Kenya mna demokrasia au ni usanii tuu. Mgekuwa na demokrasia wanasiasa wenu wasinge kuwa wanalia-lia huku wakiogopa kutishiwa maisha.Habari hizo zimeletwa na gazeti la kishilawadu la Kenya na ndio maana ukitazama kwenye kichwa cha uzi nimeandika "Kama ni kweli", maana hili gazeti huwa la kiudaku udaku hivyo lazima nithibitishe kwengine. Hadi sasa sijaona mainstream media yoyote ya Kenya ambayo imeandika kuhusu hilo tukio.
Kuhusu Magufuli kutunyoosha, huo ni wimbo mnaouimba kila siku lakini kiukweli hadi leo sijaona chochote amekifanya ambacho ni tishio kwetu, kuchoma vifaranga na kunadi ng'ombe hiyo ni issue ndogo sana, japo tuliipigia makelele lakini kiukweli ukiangalia kwa jicho la tatu ni issue ya kupuuza.
Rais ambaye kwa kweli alikua ameanza kutupelekesha kidogo ni Kikwete, maana kwenye muhula wa pili alikua tayari ameanza kujiamini na akaanza kuiweka Tanzania kwenye ramani kwa uwezo wake wa kujieleza nje kwa wawekezaji, nchi yenu ilikua imeanza kwenda kwa asilimia zaidi ya saba kiuchumi, mambo mengi mnayoyafanya leo au yanayo onekana leo alikua ameyapa msingi. Ukiangalia hayo madaraja, mabasi na mengineyo ambayo mnazindua, alivifanya Kikwete.
Magufuli nampa heko kwa mikwara dhidi ya mafisadi na kushtukiza Watanzania kwenye maofisi, lakini kwa mtu aliye nje ya Tanzania kama mimi sioni kngine zaidi ya hapo. Hadi labda kwenye muhula wa pili ndio vitu vitajitokeza, vitu alivyovianzisha na kuonekana, maana hata reli ya kati hiyo bado ni stori kwa mtu asiye Mtanzania na ako nje ya nchi. Nakumbuka Kikwete alikua amepata hela ya safu yote kutoka kwa Mchina ambaye mlimpiga chini kwa mihemko, sasa naskia mumeanza kumtongoza Mchina arudi,
Humu tuliambiwa Tanzania itaipita Kenya kiuchumi ndani ya siku mia moja za Magufuli, tumesubiri ila tunaona asilimia ya ukuaji ndio inashuka kutoka kwa ile saba ya Kikwete. Japo PR propagandist wa CCM aka Lumumba boys ambao hukesha humu, hujaribu sana kuweka twists, awali nilikua nakushuku wewe kuwa mmoja wao, lakini kuna uzi fulani niliona ukibishana na mmoja wao, tena hoja zako zilikua na mantiki sana ndio nikakuona kama mzalendo wa kweli. Sikumbuki uzi, ila ulikua unakosoa mbinu za Magufuli kuanika mawaziri wake nje badala ya kuwaadhibu ndani. Hapo ndio nilijua haupo humu kutetea kila kitu lakini kujadili mada kwa kutumia akili zako mwenyewe na sio kikazi.
Hilo la rais wetu kushinda tuzo la demokrasia, walitoa mfano kwa kusema Uhuru ameshnda kwa ajili ya kukubali kurudia uchaguzi, maana sidhani kama akina Museveni, Kagame, Zuma n.k. wanaweza kukubali kitu kama hicho, washinde uchaguzi na kutangazwa na tume halafu ubatilishwe.
Hebu naomba nielimishe, Magufuli ameshnda tuzo la amani, ni kipi amekifanya ambacho kimehusshwa na amani, ni kwa ajili ya ndani ya nchi? Au Afrika au wapi. Nitakua nyuma nimeachwa na hizo habari.
La mhubiri kumkosoa rais, nimemskliza Kakobe, kwa kweli ametema cheche lakini hayo hayakutosha kutishia ufungwaji wa makanisa yake.
Huu upumbavu kawadanganye wapuuzi wa Lumumba.unajua madhara ya siasa kwenye dini?
unajua madhara ya dini kwenye siasa?
Watch out what is happening in Central Africa Republic,Myamar Nigeria Israel Palestine and else where
Acga dini iwe dini na siasa iwe siasa vinginevyo harufu chafu itaanza kusikika soon na hatakuepo wa kuicontrol
Siasa ipi imeingia kanisani???Siasa kuingia makanisani ni very dangerous,nyie wakenya siasa zenye ukabila ndio zinawasumbua kila kukicha,Tanzania hatutaki siasa zenye udini zipate nafasi hatuna ukabila ss so hatuna siasa zenye ukabila ,wala udini.Lazima tu separate hivyo vitu na siasa
Acha zako we kibwengo, hao mashekhe walisaidiwa sana. Walipunguziwa domo wakaharakishiwa shughuli yao ya kupatana na bikra zao 72. Hamna dhambi hapo. Hapo ni katika harakati ya kuwasaidia tu. Kenya hamna Guantanamo Bay, kuna hospitali tu, za kuziba tundu za risasi kwenye miili ya watu mashuhuri kama Lissu.Wakenya wa Jf mnapenda ligi za kijinga na kujishebedua eti demokrasia yenu??
WTF're u talkin bout?
Hao masheikh mliowaua huko Mombasa ndiyo democracy? Maandamano ya NASA tu polisi wameua mpaka watoto na kuna hadi cases za polisi kubaka.View attachment 664368
Sasa kama Kikuyu anamfukuza Jaluo, Jaluo anamfukuza kikuyu na vivyo hivyo makabila mengine yanafukuzana, kuna ajabu gani kwa mataifa mengine wakifukuzwa?, kwa asili ya wakenya ni wabaguzi, mnabaguana kikabila, kiukoo na hata kielimu, Kumbuka Kenya is a country but not a Nation, very divided and fructured country, ukabila asubuhi, ukabila mchana, ukabila alaasiri, ukabila dinner time, never compared yourselves with a model country- TANZANIASi tetesi. Mitaa kibao tu ya Eastlands Nairobi huwa ina walinda lango na washika doria wamaasai wa kitz. Kuna wakati gavana wa sasa wa Kiambu Baba yao au ukienda Ferdinand Waititu alifikishwa mahakamani kwa matamshi yake dhidi ya watz. Alipokuwa mbunge wa Embakasi, Nairobi alitamka haya maneno mbele ya umati. 'Wamaasai wote Embakasi warudi kwao tz'. Kisha akasema walimnukuu vibaya na eti alisema masaa hii Embakasi imekuwa tz. Hehehe, haina presha lakini acha ndugu wachape kazi.
Kakobe haya ongelea kutubu pekee kaongelea vitu vingi(kafanya comparison utawala wa nyerere na wasasa ,muungano akitaka Tanganyika ijitenge........) .Fuatilia kwanza mahubiri ya kakobe ndo uje kuquote post yangu otherwise kaakimyaSiasa ipi imeingia kanisani???
Mtu akikosea akiambiwa atubu ndiyo siasa imeingia kanisani????
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
I would have loved to compare Ke with tz but problem is we Kenyans have an allergy for dictators and living like rained on sheep.Sasa kama Kikuyu anamfukuza Jaluo, Jaluo anamfukuza kikuyu na vivyo hivyo makabila mengine yanafukuzana, kuna ajabu gani kwa mataifa mengine wakifukuzwa?, kwa asili ya wakenya ni wabaguzi, mnabaguana kikabila, kiukoo na hata kielimu, Kumbuka Kenya is a country but not a Nation, very divided and fructured country, ukabila asubuhi, ukabila mchana, ukabila alaasiri, ukabila dinner time, never compared yourselves with a model country- TANZANIA
Wala hujakosea, pia ukabila unamsumbua sana, akisikia Magufuli anasifiwa duniani, anajisikia uchungu kama anataka kujifungua mtoto wa kiume.Wakenya wa Jf mnapenda ligi za kijinga na kujishebedua eti demokrasia yenu??
WTF're u talkin bout?
Hao masheikh mliowaua huko Mombasa ndiyo democracy? Maandamano ya NASA tu polisi wameua mpaka watoto na kuna hadi cases za polisi kubaka.View attachment 664368
I guess mleta mada naye ni "Government property"
MK254 huwa napenda uelewa wako. Nadhani si viile kama anavyodaiwa kusema msemaji wa Serikali. Magazeti yamelikuza jambo kupita jinsi lilivyosemwa. Katiba ya nchi inawapa Watanzania uhuru wa kuabudu wa kutosha kabisa. Raisi wetu amesali kwa Wakatoliki, amesali kwa Makanisa mengine pia. Aidha amehudhuria matukio katika Msikiti wa Waislamu. Wakosoaji wetu wameidaka hiyo na kuipeperusha wanavyotaka. Nimependa ulinganishi wako hata hivyo.
Done
Kama haingiliani na mada hii, vipi umejibu kuhusu hizo awards za Uhuru na Magufuli?, au maisha ya Kibera yamekuchanganya?
Ninadhani zitabaki kuwa tetesi tu, haiwezekani watanzania kuishi katika hayo mabanda ya kibera, kwasababu hata mabanda wanapoishi nguruwe wangu ni bora kuliko hayo ya Kibera, wanaoweza kuishi maisha hayo ni wakenya tu. Jacob Juma, Cris Msando, Makaburi, huyo pandre aliyeuliwa kwa kutetea mauaji ya wapinzani,, the list is endless......
If you kill each other like wild animals, how can you compare with a civilized country?I would have loved to compare Ke with tz but problem is we Kenyans have an allergy for dictators and living like rained on sheep.
.....Hii single ime scratch saaa kwa kupigwa kila siku, tafuteni nyingine.unajua madhara ya siasa kwenye dini?
unajua madhara ya dini kwenye siasa?
Watch out what is happening in Central Africa Republic,Myamar Nigeria Israel Palestine and else where
Acga dini iwe dini na siasa iwe siasa vinginevyo harufu chafu itaanza kusikika soon na hatakuepo wa kuicontrol
Says who? An albino-muncher like you? Come on!If you kill each other like wild animals, how can you compare with a civilized country?
Albinos were killed by criminals, the same way hundreds of Kenyans are killed by terrorists, should we call all Kenyans terrorists?Says who? An albino-muncher like you? Come on!
Mmepanic baada ya mwenyekiti wenu kuambiwa amebaka katiba.Kakobe haya ongelea kutubu pekee kaongelea vitu vingi(kafanya comparison utawala wa nyerere na wasasa ,muungano akitaka Tanganyika ijitenge........) .Fuatilia kwanza mahubiri ya kakobe ndo uje kuquote post yangu otherwise kaakimya