Wakenya tushukuru kwamba tuna katiba mpya(2010) ambayo ilileta 'checks & balances', kupitia vitu kama usaili ambavyo vinatuepushia aibu kama hizi


Sasa wewe unabishaa!!??
 
Wewe Tatizo lako nini? Kubali tu kwamba nyie na viongozi wenu walevi ni Mazwazwa tupu,
Huku kwetu tunakula bata clubs hadi asubuhi, kids are back to school long ago, they are all safe, tunajaa viwanjani, makanisani, maharusini, bar, mikutano ya campaign za siasa, kotekote na hakuna Tatizo miezi 8 sasa, remember it only takes 14 days and now new studies confirmed it is only 10 days to present the symptoms of Covid-19..
Kama mngekuwa na akili mngejifunza kwetu, Tatizo vichwani ni weupe mnapelekwa na wazungu mnakwenda kama Mang'ombe,
Siku zote kwenye maisha Tumia akili yako kwa maslahi yako na unaowapenda, this is what JPM did,
Hamna Covid-19 hata hapo Kenya, covid is there with negligible effects on your population with 75% under 35 years of age. Italy has more population of over 75 years of Age...
But because you and your leaders are all fools itawachukua muda sana kuelewa siri ya Watz kula bata mrefu in the midst of the overhyped Covid nonsense.
William Ruto knows this well, a reson he has been gathering the fools in his wheelbarrow nonsense gatherings..
 
Na wameshakopa zaidi ya dollars billion 4 kwa ajili ya Corona, bado wanakufa kama kuku, madaktari hawajalipwa mishahara huu ni mwezi wa 5 na hawana PPE πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hivi wanahitaji kufanya nini kingine ili waitwe Taifa la wapumbavu? Ubaya ni kwamba kuanzia viongozi mpaka waongozwa wote ni mamburura wote ni pipa na mfuniko na hiyo ndio shida πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Matunda ya katiba mpya hayo ya (2010 ) la sivyo ingekua tunatumia ya zaman hali ingekua mbaya Zaid
 
Hoyu ni ccm dam damu.Wote wako hivyo tofauti ni ndogo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…