Wakenya tushukuru kwamba tuna katiba mpya(2010) ambayo ilileta 'checks & balances', kupitia vitu kama usaili ambavyo vinatuepushia aibu kama hizi

Yaani hata huna aibu kabisa ukitumia upumbavu wenu wa COVID-19 kutetea aibu kama hizi za kushindwa kusoma kiapo? Sasa hapo kuna ujanja upi, na kati ya Kenya na Tz ni nchi ipi ndio kichwa cha mwendawazimu hapa duniani?
2630442_701437569.jpg
Eti u'genius' wa Jiwe lenu ni kwamba virusi vinaogopa mipaka ya Tz. [emoji38] Cc. Behaviourist.

Sasa wewe unabishaa!!??
 
Wewe Tatizo lako nini? Kubali tu kwamba nyie na viongozi wenu walevi ni Mazwazwa tupu,
Huku kwetu tunakula bata clubs hadi asubuhi, kids are back to school long ago, they are all safe, tunajaa viwanjani, makanisani, maharusini, bar, mikutano ya campaign za siasa, kotekote na hakuna Tatizo miezi 8 sasa, remember it only takes 14 days and now new studies confirmed it is only 10 days to present the symptoms of Covid-19..
Kama mngekuwa na akili mngejifunza kwetu, Tatizo vichwani ni weupe mnapelekwa na wazungu mnakwenda kama Mang'ombe,
Siku zote kwenye maisha Tumia akili yako kwa maslahi yako na unaowapenda, this is what JPM did,
Hamna Covid-19 hata hapo Kenya, covid is there with negligible effects on your population with 75% under 35 years of age. Italy has more population of over 75 years of Age...
But because you and your leaders are all fools itawachukua muda sana kuelewa siri ya Watz kula bata mrefu in the midst of the overhyped Covid nonsense.
William Ruto knows this well, a reson he has been gathering the fools in his wheelbarrow nonsense gatherings..
 
Na wameshakopa zaidi ya dollars billion 4 kwa ajili ya Corona, bado wanakufa kama kuku, madaktari hawajalipwa mishahara huu ni mwezi wa 5 na hawana PPE 😅😅😅

Hivi wanahitaji kufanya nini kingine ili waitwe Taifa la wapumbavu? Ubaya ni kwamba kuanzia viongozi mpaka waongozwa wote ni mamburura wote ni pipa na mfuniko na hiyo ndio shida 😅😅😅
 
Na wameshakopa zaidi ya dollars billion 4 kwa ajili ya Corona, bado wanakufa kama kuku, madaktari hawajalipwa mishahara huu ni mwezi wa 5 na hawana PPE [emoji28][emoji28][emoji28]

Hivi wanahitaji kufanya nini kingine ili waitwe Taifa la wapumbavu? Ubaya ni kwamba kuanzia viongozi mpaka waongozwa wote ni mamburura wote ni pipa na mfuniko na hiyo ndio shida [emoji28][emoji28][emoji28]
Matunda ya katiba mpya hayo ya (2010 ) la sivyo ingekua tunatumia ya zaman hali ingekua mbaya Zaid
 
Mfumo mbovu wa elimu ukiambatana na mifumo mibovu ya kiutawala, matokeo yake huwa ni aibu kama hizi;

Huyo hapo ni mbunge aliyeteuliwa na rais wa Tz kama naibu waziri, akishindwa kusoma kiapo chake cha uwaziri. Hizi ndio athari tulizojiepusha nazo tulipoandika katiba mpya ya Kenya 2010. Mifumo ya ajabu ajabu kama hiyo ni kikwazo kikubwa mno kwa maendeleo ya nchi na watu pia hapa barani Afrika.

Yaani hapo kwa madaraka ya kulevya ambayo yamekabidhiwa mtu mmoja, uteuzi unafanya kiholela bila usaili(vetting) kutoka kwa mihimili mingine, au hata shirika lolote lingine la kiserikali. Tena mbaya zaidi ni kwamba sio kwenye nafasi za uwaziri tu.

Huu ndio mfano mzuri wa sampuli ya viongozi ambao huwa wanabebwa na maagizo ya 'mzee', kutoka kwa 'primaries' za wagombea ubunge ndani ya vyama. Hadi kwa uchaguzi mkuu ambapo huwa wanashinda kwa 'kishindo', kupitia mgongo wa Tume ya Uchaguzi ambayo sio huru, iliyojawa na uoga na mahakama ambazo zinapokea maagizo 'kutoka juu'.

Hoyu ni ccm dam damu.Wote wako hivyo tofauti ni ndogo sana!
 
Back
Top Bottom