Wakenya tushukuru Mungu kwa demokrasia yetu, watani wetu wamebanwa hadi wanalia toshaaa, wanakiri kwamba nchi yao sasa imekuwa 'Police State'

Link iko wapi? What are u smoking bro?
Sent using my Nokia Torch
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani ndio amelewa chakari? Hujaona hiyo link hapo chini kabisa kwenye taarifa ya mada hii?
 
Ahaaa haaa haaa
Wale waliopigwa risasi wakiandamana hawakuja watu?
Huwezi tamka katiba bila Raila,kama kuna political torelance why yale mauaji ya watu kwenye maandamano wakati baba anarudi kenya toka ziarani
Hongera zenu kwa kuwa wanaume waoga. Naona mmejikita kwenye kuikashifu demokrasia ya Kenya ila hamuisifii wala hamdhubutu kuitaja Tz. Sitawakwaza, acha tukubaliane tu, kwamba Kenya kwenye demokrasia bado sana na Tz ndio ina demokrasia kamili, ya kuigwa na nchi zote duniani.
 
HALI NI MBAYA SANA, SOCIALLY,ECONOMICALLY,POLITICALLY ,TUNA PRESIDENT AMBAYE ANASEMA ALIONA 42 PEOPLE WALICHUKUA FORM YA KUOMBA U RAIS NA YEYE AKAONA BORA AJARIBU ILA ANASIKITIKA KWAMBA NI KAZI NGUMU YET ANAONEKANA KILA DALILI ZA KUWA KAMA RAFIKIYE KAGAME
NDUGU ZANGU YATAKUJA MA ROBOT YA CCM HAPA NAOMBA MUYAPUUZE, LEO KUNA CLIP INA SURFACE YA REGION COMMISIONER WA TABORA ANAITWA AGGREY MWANRI ANASEMA GOD SHOULD THANK MAGUFULI NDUGU ZETU WAKENYA NDIPO TULIPOFIKIA HAPO MNA HAKI YA KUTUCHEKA NA KUTUONEA HURUMA
 
Ukweli mchungu ni kwamba watz wengi kwasasa wanaichukia sana serikali Yao maana Imekuwa katili kwao yani ikitokea vita sasa wengi watakaa upande wa adui ili ccm ianguke
 
Mmetulia watani tunasubiri alshabab saiz wamewaandalia nn mana mnataka kujisahau.sisi jiwe tushamzoea kakaza ila atalegeza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini JPM kaficha? Utawalawa wake ni wa uwazi sana, kila siku ana watumbua mawaziri, wakuu wa polisi nkt tena hadharani...Juzi tu kenyatta kaongea kuhusu mafisadi kwa ubabe....ilibidi afute accout zake zote za social media
 
No no! I admit bado tuna shida kwenye democracy ila time will come kama ilivyokuwa kenya that through tribalism and democracy fighting you shed blood na mkapata katiba nzuri kuliko ya MaRekani but sisi africans tuna shida kwenye kuheshimu katiba coz from first place tunakosa NIA NJEMA
 
Ukweli mchungu ni kwamba watz wengi kwasasa wanaichukia sana serikali Yao maana Imekuwa katili kwao yani ikitokea vita sasa wengi watakaa upande wa adui ili ccm ianguke
Mimi nashangazwa tu na wanavojitia hamnazo humu kuhusu taarifa ambazo zimetoka kwa mashirika ya kitanzania, tena yanayofahamika vizuri, kama Legal and Human Rights Commission(LHRC) na Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC). Sitaki kuamini kwamba ni kwasababu ya uoga, nadhani ufahamu wa haki zao msingi haupo kabisa pia kwa baadhi ya watanzania.
 
Watanzania wengi ni wapumbavu we unadhani Inaingia akili wanasiasa eti wanaenda ccm kuunga mkono juhudi za malaika juhudi zipi ? Hata kama wanatishiwa kuuwawa kwa wingi wao wangeshtaki hata un
 
Huifaham Tz wewe. Wacha nikuache na ujinga wako, nchi yako ako na hali mbaya, unajifanya kuwa concerned na Tz. Baki hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni NGOs kama tu wale walio kuwa na ungomvi mwingi sana 2017 wakati wa uchaguzi kenya..Bahati nzuri uhuru aliwahangaisha vilivyo, wengi wakafuatwa na kesi za KRA wengine kesi za usajili gushi..
Magufuli pia anajaribu kuwadhibiti lakini hana roho ngumu kama kenyatta alivyo wadhibiti NGOs..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…