Wakenya waandamana dhidi ya Bunge lao...Nguvu ya uma muhimu!

Wakenya waandamana dhidi ya Bunge lao...Nguvu ya uma muhimu!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
8074000164_114905156a_c.jpg

 
Sidhan kama wabongo tunaweza hii tungekaa nyuma ya key board na kulalamika basi!!bravo kenyans
 
Sidhan kama wabongo tunaweza hii tungekaa nyuma ya key board na kulalamika basi!!bravo kenyans

Thank you! Nilikuwa nawaza hicho hicho! Ila kuanzia leo ntakuwa mstari wa mbele kuandamana kupinga mafisadi na ufisadi.
 
...Wenzetu wanaweza kuandamana kushinikiza Wabunge wao. Bongo maandamano kama haya wangemwagwa FFU wa kufa mtu na risasi za moto na si ajabu watu wangepoteza maisha kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu...Kuandamana ni haki ya kikatiba pale Wananchi katika nchi husika hawaridhiki na jambo lolote lile ndani ya Serikali iliyopo madarakani.

Thanks Mkuu Ab-Titchaz for sharing this link.


 
Nimependa mwamko wa wenzetu. Na sisi tunaweza tukiamua. Haiwezekani mbunge alipwe USD 10000 kwa mwezi ilhali raia hawana hata dawa katika zahanati. Nonsense
 
watakaojipambania mungu atawainua ila waoga na wadhaifu watajimaliza kwa upumbavu wao.hongera wakenya.
 
Hiyo ni demokrasia Kenya ashanteni wakenya kwa kuonyesha ukomavu. unapozuru sehemu za Gongo la mboto unakuta FFU na cluster munitions. Vipi mwananchi atapata kibali ya kuendesha maandamano za kidemokrasia.
 
Back
Top Bottom