wakenya waandamana mpaka bungeni

wakenya waandamana mpaka bungeni

duh watu wako serious aiseee anyway lets wait and see what comes
 
993091_10151273062367609_1128582251_n.jpg
 
hongereni wakenya kweli mmetimiza hitaji la kikatiba,mishahara ya wabunge ni mikubwa mno
 
Hii nchi ni rahisi sana kuitawala.

Yani umeme juu, watu kimyaaa!!
Wabunge hawataki laki 3, wanataka laki 7, watu kimyaaaaa!!
 
Proud to be Kenyan, yaani tulaani na kabisa tabia za hawa majambazi MPIGS.
 
Back
Top Bottom