Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Annael Endelea kumpa nondo za uso
Yeye anajifanya anajua sana. Sasa ngoja nimpe za uso. Yaani nataka hawa manyang'au watie heshima. Wakituona tumenyamaza wasidhani labda sisi hatuna cha kuongea. Ule ulimbukeni wao mpaka tuukomeshe.
 
kenyan are sensitive and very international not like Tanzanian_s!! Their mind is sensitive and sharp! Tanzanian are very docile likea tuatara!!
 
kenyan are sensitive and very international not like Tanzanian_s!! Their mind is sensitive and sharp! Tanzanian are very docile likea tuatara!!
Kwikwikwikwi. Kushikiwa akili na wazungu dio international!!!?. Kwikwikwikwi, kaoge.
 
Why do guys argue with this Annael guy? There's a level of stupidity that becomes painful to the rest.
 
Why do guys argue with this Annael guy? There's a level of stupidity that becomes painful to the rest.
kwikwikwikwi. Mimi ni sindano kali sana kwa wazushi. Heshima ikiwepo tutaenda sawa, lakini mkileta za kuleta nawaumbua kisawasawa. If you think your not stupid go and try to own piece of land in your country. Kenya is not for Kenyans.
 
71bn reasons kwamba tuna jua nyie hamna chochote


Nchi ya wanafiki duniani

Na wanavichaa

Wala albino

Na waongo wachawi


That is what Tanzania is !!


Haya enda kale albino!!
Mmezidi unafiki na kujifanya kila kitu ni chenu, ml kilimanjaro mnasema ni wenu, magu mnasema n wenu, diamond mnasema ni wenu, sasa mmepanda ngazi hadi uzungu mnasema ni wenu mnaandamana kisa trump loooh mjiheshimuni wakuu
 
Wawaachie Wamerakani waandamane.Yakwao yanawashinda wanashupalia ya wengine
 
Duh duh.... For you.....just lock the door behind you and ask the rest to come tomorrow, we have long and exhaustive sessions ahead.
And when we get to the end the race is over, no more recruitment.
 
Kweli magovi yanapunguza uwezo wa kufikiri
 
Wakenya mmamambo ya kike sana nyie...matatizo yenu mbona hamyapi kipaumbele?
America inawahusu vipi?mtaolewa sasa maana mnajibebisha
Wakenya wanajibebisha ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana
 
Ama kweli waTz ni wapumbavu wa kutupwa.........hayo madawa ya Virusi vya Ukimwi pamoja na maneti na misaada mingi tu mnayoyapata toka Marekani yakikatwa ndio mtaona kweli Trump ni wa maana?, mbona huwa hamna vision?
Leo hii hizo pesa na miradi ya MILLENIUM DEVELPMENT GOALS MMEZIPOKEA, SCOLARSHIPS,CDC/DISEASE ERADICATIN,MALARIA NETS,CLIMATE FUNDS etc hazijawasaidia?, ilhali nyinyi ndio mnaoongoza kwa kupokea misaada lukuki?, hamuoni yote hayo?
Hivi leo wabaguzi KKK wakiishikilia nchi chini ya mkuu wao Trump Marekani na jinsi walivyo wakaanza kuwaua jamaa zenu walioko kule na kuwatimua mtakenua meno?
Ni nini kimewasibu hadi mu wapumbavu kwa kiasi hiki?
Haki zenu leo zikianza kukiukwa kuanzia Zanzibar hadi hapo Tanganyika ni nani atakuja kuwaokoa?..Mchina ama Muarabu?
Si ndugu zenu wataanza kukimbilia mataifa huru yenye kuzilinda haki za binadamu?
Leo miji mikubwa zaidi ya 370 mataifa makubwa na tajiri ulimwenguni yanaandamana, nyinyi mnafikiri ndiyo werevu sana,wajuvi wakubwa na wenye akili zaidi eeh?

The least you Tzs could do is shut your illiterate mouths, hamjui lolote lile....bado mpo mpo.
Nonsense
 
Back
Top Bottom