Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,645
Huyu Mzee ni hatari sana, utadhani kakaa na Mbwa, tena Fisi wametulia tuli
1 KG ya nyama ya ng'ombe kenya ni 260
kutoka kwa hio habari hapo juu, 1 KG ya nyama ya ngamia ni 1000Ksh.
Alafu unaambiwa 1kg ya fisi ni double.. yaani 2000!
sasa ni nani mwenye njaa atawacha nyama ya 260 akale ya elfu mbili?
hii ni vituko vya kenya, hakuna tofauti na ile time kulikua na hype hadi yai moja la quail lilikua lauzwa mia sita sababu ya demand, sasa unaeza linunua na 50bob..... huku kenya watu hupenda kujitengezea biashara yenye iko na value chain, sasa sai watu wanajifaidisha kwa kuuza nyama ya fisi kilo ni elfu mbili.... hahaha daylight robbery... hio ndo inaitwa entreprenual spirit.... create a unique product, raise the demand then make a kill out of it