Wakenya waanza kula nyama ya fisi!

Wakenya waanza kula nyama ya fisi!

View attachment 375382
Wale hata chatu...sijali
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Huyu Mzee ni hatari sana, utadhani kakaa na Mbwa, tena Fisi wametulia tuli
1 KG ya nyama ya ng'ombe kenya ni 260
kutoka kwa hio habari hapo juu, 1 KG ya nyama ya ngamia ni 1000Ksh.
Alafu unaambiwa 1kg ya fisi ni double.. yaani 2000!

sasa ni nani mwenye njaa atawacha nyama ya 260 akale ya elfu mbili?

hii ni vituko vya kenya, hakuna tofauti na ile time kulikua na hype hadi yai moja la quail lilikua lauzwa mia sita sababu ya demand, sasa unaeza linunua na 50bob..... huku kenya watu hupenda kujitengezea biashara yenye iko na value chain, sasa sai watu wanajifaidisha kwa kuuza nyama ya fisi kilo ni elfu mbili.... hahaha daylight robbery... hio ndo inaitwa entreprenual spirit.... create a unique product, raise the demand then make a kill out of it
 
a wap ni njaa! hawa ndo wanakufa kila mwaka kwa njaa huwezi sema wanakula kwa kupenda! ngoja nikuletee evidence
Kwani mkuu kwenye hiyo thread wameandika wanakula Fisi sababu ya njaa??, au ni maamuzi binafsi
 
I see Geza Ulole has rushed out to dig out some "evidence" (what for?) about hunger situation in Kenya, to make fun of Kenyans.

As if we dont have damning evidence regarding Tanzania's hunger problems
 
I see Geza Ulole has rushed out to dig out some "evidence" (what for?) about hunger situation in Kenya, to make fun of Kenyans.

As if we dont have damning evidence regarding Tanzania's hunger problems
ngoja i want to prove to u eating of hyena meat is not by choice
 
There is one hadith, on hyena may be they are using it,Jaabir ibn ‘Abdullah said, “I asked Allah’s Messenger about the hyena and he replied, “It is game, and if one in the state of ihram hunts it, he should give a sheep as atonement.” [Sunan Abu Dawud, Vol. 3, p. 1071, Number 3792; as-Daarimee, al-Bayhaqee, Ibn Hibaan, ad-Daaraqutnee and al-Hakim, and declared Sahih (authentic) by al-Haakim and al-Albaani in Irwaa al-Ghaleel, Vol. 1, p. 242, Number 1050]
 
Wewe nyumbu kweli. Unarukia kucoment bila hata ya kusoma! Ni wapi pametajwa hii imetokana na ukosefu wa chakula?
Una anzisha Ugomvi wa mawe ukiwa unaishi ndani ya nyumbe yenye vioo!!
Naona unabip fire endelea kutukana
 
1 KG ya nyama ya ng'ombe kenya ni 260
kutoka kwa hio habari hapo juu, 1 KG ya nyama ya ngamia ni 1000Ksh.
Alafu unaambiwa 1kg ya fisi ni double.. yaani 2000!

sasa ni nani mwenye njaa atawacha nyama ya 260 akale ya elfu mbili?

hii ni vituko vya kenya, hakuna tofauti na ile time kulikua na hype hadi yai moja la quail lilikua lauzwa mia sita sababu ya demand, sasa unaeza linunua na 50bob..... huku kenya watu hupenda kujitengezea biashara yenye iko na value chain, sasa sai watu wanajifaidisha kwa kuuza nyama ya fisi kilo ni elfu mbili.... hahaha daylight robbery... hio ndo inaitwa entreprenual spirit.... create a unique product, raise the demand then make a kill out of it
Acha uongo wewe Nani kakwambia nyama Nairobi ni 260??
Nyama Nairobi ni 440 kwa 1 kg
 
Una anzisha Ugomvi wa mawe ukiwa unaishi ndani ya nyumbe yenye vioo!!
Naona unabip fire endelea kutukana
Eish! Easy, nimekuita kiutani tu...jinsi mnavyotuita manyangau bila sisi kushika makali.
 
Wengi hupigwa ban kwa kumfananisha binadamu na mnyama
Wapi, MOTOCHINI? Kwanza hilo utani na maana ya neno hilo la "nyumbu" nilijifunza humu, kwenye midahalo yenyu watz, na hamna niliyemuona kukereka. Mbona basi na nyinyi msipate ban kwa kutuita wakenya manyangau?
Anyway, mine was all in good jest, I am sorry. Tusikosane bure.
 
Hehehe Nakuhakikishia jina hilo
Litakupoteza jf
Kama uliliona humu
Rudi tena ktk majukwaa kama utaliona tena likitamba .
Nikweli watu walilitumia sana hasa kipindi cha uchaguzi,
Kwasasa Nimarufuku kabisa.

Ok twende kwenye mada
Yameisha bwana
 
Sawa, na jina "nyangau" pia litakuwa linafutwa humu pia hivi karibuni, ikiwa ni hatia kumfananisha binadam na mnyama on this forum.

Sasa basi tuendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom