Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Acheni mbwembwe, mnachochea migogoro mpate wakimbizi mpige dola za mzungu! Na hii itawatokea puani kama pesa za korona,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wezi wakubwa nyie.Endelea kuichukia Kenya mzee. Mimi sina tatizo. Kila mtu anamind shughuli yake.
Hahahaha, sijui kama wanaujua huu wimbo, unawahusu wao kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa mtenda mabaya, wewe mwenye haujijui. Ukiwe mtenda mabaya, kila siku utasema unaonewa. Ukiwa na roho mbaya...
Wakikuyu na wajaluo anzeni kupendana then na sisi majirani zenu tutaanza kuwapendaHuwa mnajifanya kwamba mnapenda Kenya lakini leo naona mumefungua roho.
Inatakiwa mjipuuze kwanza nyie wenyeweWatanzania kwenye hii thread wanaonyesha wazi jinsi wanavyoichukia Kenya na Wakenya kwa ujumla. Solution ni Wakenya kupuuza kabisa Watanzania na nchi yao.
Kenya inamwonea Somalia sanaHuwa mnajifanya kwamba mnapenda Kenya lakini leo naona mumefungua roho.
Kenya inamwonea Somalia sana