joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Vipi kuhusu warundi ambao kila mwaka tunapokea watalii kati ya elfu 50 hadi elfu 70 toka Burundi?. Wakenya wana maisha magumu sana kuliko wananchi wote wa EA. Waganda wengi sana huenda kutembelea Kenya kipindi hiki, he wana hali nzuri kuliko wakenya?Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?
Njiro wapi?mimi natulianga njiro nikiwa A-town, weekends niko Club D ama some joint ya expatriates around
Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?
Tanzania tutembee tu kifua mbele kama kawaida, huko Kenya saivi ni wakati sasa ambao wakenya wanaanza kutoa zile pesa wamekua wakidunduliza kwa mwaka mzima ili tu watimize ile ndoto yao ya muda mrefu kuona Tanzania.
Karibuni majirani kwa wingi. π
Ila hakikisheni mnaheshimu na kufuata sheria zetu za nchi.
View attachment 959186
Wacha maneno weka music, waganda wengi hutembelea Kenya kuliko waganda wanaokuja Tanzania. Wakenya wengi hutembelea Tanzania kuliko watanzania wanaotembelea Kenya. Watanzania wengi hutembelea Zanzibar na Zambia. Watanzania wapo very sensitive na security kuliko kitu kingine, Kenya is not safe enough for Tanzanians to visit.Wakenya wanaoenda uganda ni wengikushinda wanaoenda tz
Wakenya wengi huenda Uganda..kwanza uganda hakuna haja ya passport ni ID tu ...watu wa western kenya kila weekend wanaenda uganda kwa wingiWacha maneno weka music, waganda wengi hutembelea Kenya kuliko waganda wanaokuja Tanzania. Wakenya wengi hutembelea Tanzania kuliko watanzania wanaotembelea Kenya. Watanzania wengi hutembelea Zanzibar na Zambia. Watanzania wapo very sensitive na security kuliko kitu kingine, Kenya is not safe enough for Tanzanians to visit.
Heeeee huyo siyo Mrembo labda umwite MRAMBO maana ukitembea naye watu wanajua wewe ndiyo Demu na yeye men
Sasa mtanzania aende Kenya kufuata nini jamani just frankly speaking?Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?
Sasa mtanzania aende Kenya kufuata nini jamani just frankly speaking?
Sio kwamba watanzania hawatalii me binafsi nina uzoefu mkubwa kwenye industry ya tourism TanzaniaWanaokuja kuomba omba watakuambia hufuata nini, nyie kwa mlivyo maskini hamuna jeuri ya kutalii ila kuomba omna.
Sio kwamba watanzania hawatalii me binafsi nina uzoefu mkubwa kwenye industry ya tourism Tanzania
The fact ni kwamba Tanzania kila mkoa una at least two massive national parks, mind you 35% of the great Tanzania is the reserve area bigger land, sasa ni mwananchi gani ataenda Kenya kwa ajili ya utalii?
Mfano unapotoka Namanga ukifika Longido kuanzia Longido mpaka karibu na Ngaramtoni all that bigger land has plenty of wildlife of different varieties lakini wala hata sio National Park lakini kuna zebras, impala, giraffes, lions and so forth sasa mwananchi wa hapo aende Kenya kufuata nini?
Tena Tanzania ina wider networks of standard roads yaani road trips tu unaitalii nchi yako vilivyo, huko Kenya penye Barabara za lami ni lower Kenya lakini County nyingi lodwaa, marsabit, wajir, kitale, lokichokio hakuna lami Kabisa ni vumbi tupu pamepauka utafikiri palipigwa bomb la atomic pabaya hakuna mvuto pakame ptuuuuuHamnaa nyie maskini wa kutupwa hata nchi yenu ndani hamtalii, ni wachache sana kwenye jeuri hiyo, wengi mnasota Dar.
Kazi kutujazia omba omba Kenya.
Naomba ushahidi kwa hili unalosema, hatuzungumzii daily movements kwa biashara, tunazungumzia wanaokwenda kula BATA. Wakenya ni miongoni mwa idadi kubwa ya watalii wanaotembelea Tanzania. Wakija kamwe hawachangii hata 5% ya watalii wa Uganda.Wakenya wengi huenda Uganda..kwanza uganda hakuna haja ya passport ni ID tu ...watu wa western kenya kila weekend wanaenda uganda kwa wingi
Wakenya wengi huenda Uganda..kwanza uganda hakuna haja ya passport ni ID tu ...watu wa western kenya kila weekend wanaenda uganda kwa wingi
Tena Tanzania ina wider networks of standard roads yaani road trips tu unaitalii nchi yako vilivyo, huko Kenya penye Barabara za lami ni lower Kenya lakini County nyingi lodwaa, marsabit, wajir, kitale, lokichokio hakuna lami Kabisa ni vumbi tupu pamepauka utafikiri palipigwa bomb la atomic pabaya hakuna mvuto pakame ptuuuuu
ππππ Hii ni picture tosha kwamba Tanzania ina ushawishi wa hali ya juu kwenye hii regionKenya overtakes America as leading source for visitors to
Wakenya wanaokuja Tanzania kila mwaka ni 234,000. Nina uhakika wakenya wanaoenda Uganda hawazidi 100,000 kwa mwaka. Kama unapinga lete ushahidi.
Utamdanganya mtu ambae hajafika Kenya ila sio mimiLikija suala la barabara yaani pamoja na kwamba Tanzania ni kubwa kuzidi Kenya karibia mara mbili lakini Kenya inaizidi Tanzania kwa mtandao wa barabara tena zenye ubora...that's a fact. Tunaizidi Tanzania kwa kila kitu. Kumbuka middle-class wa nchi ndio hutalii nchi yao, sasa nyie kwenu wachache ndio wamekidhi uchumi wa kati, wengi wenu walalahoi wa Dar.
Asilimia 70% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa hiyo ni kwa mujibu wa taarifa za benki kuu, mumetujazia omba omba Kenya, yaani Tanzania ndio nchi pekee ukanda huu wote ambayo raia wake hutoka nje ya nchi kwenda kujidharirisha kwa kuishi kama omba omba.
Halafu hapa EAC, Watanzania ndio wanalipwa mishahara duni, hilo tumeona juzi taarifa za utafiti zilizochapishwa humu. Halafu ukizingatia utawala wa leo jinsi umewakazia, vyuma vimekaza kote mnalia kilio cha mateso kwa jinsi mumekosa hela kitaani, sasa za kutalii mtatoa wapi.
Nimeona wengi mumeanza kumlilia Membe aje awakwamue ili mpate afueni hata ya kula bata.
The important thing you have to know is Tanzania development erupted in these around 15 years ni kweli hapo nyuma Tanzania was behind mfano kwenye sector ya Barabara, do you know what criterion gave JPM the power to win the 2015 general election?Deluded Tanzanians. In matters of infrastructure you are as behind as a dinosaur's tail. You have the poorest road network in the region. Rwanda,Kenya and Uganda leads in quality roads.
Always living in denial and exaggerating achievements. When will you stop?