Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Na nyinyi mnazuru nchi gani sasa juu ata domestic tourism ni ZERO.
Ile link ya TZ ikiwa na less middle class hapa EAC naona ni real.....mwache kupika data.
Sisi tunatembelea nchi za SADC ambazo ninyi hadi muombe visa. Tanzania hatuwezi tembelea nchi hatari kwa usalama kama Kenya.
 
Kwanza investment is all what we need, regardless from which country, getting Kenya investors is plus for Tanzania and minus for Kenya because investment means more jobs, more taxes, more money. Kenya tanks forth after UK, India and South Africa.
Now 5th and China first!
 
Now 5th and China first!
Siku hizi umekuwa relegated to just contributing to other people's threads? you were not dynamic enough to adjust to JF changes sasa zile nyuzi za Tanzagiza ulikuwa untuwekea hapa zinafungwa papo hapo.
 
Sisi tunatembelea nchi za SADC ambazo ninyi hadi muombe visa. Tanzania hatuwezi tembelea nchi hatari kwa usalama kama Kenya.
Official source ama link please si upige mdomo kama kawa na hata Tandale hujawahi toka.
 
katika huu mjadala, sijaona takwimu toka Kenya.
Now 5th and China first!
Sisi tunatembelea nchi za SADC ambazo ninyi hadi muombe visa. Tanzania hatuwezi tembelea nchi hatari kwa usalama kama Kenya.
FB_IMG_15443387492219007.jpg
 
Nilivyouona huu uzi tu nikajua kabisa utaibua battle kubwa kati ya hawa watani wa jadi, huwa najiuliza sana hivi Kenya na Tanzania wana nini? Mbona EAC ina nchi nyingi lakini hawa wawili wana utani wa mtu na shemeji yake sana!!?
 
Hehe weka official data ama link kuonyesha watanzagiza huzuru Nchi gani Afrika...afu si ni kweli kuwa nyie mnaongoza kwa export ya omba omba haswa hapa Kenya.
Kama ambavyo Kenya ni biggest exporter wa majambazi, wezi, terrorists, tribalists, and ugly ladies.
 
Tanzania tutembee tu kifua mbele kama kawaida, huko Kenya saivi ni wakati sasa ambao wakenya wanaanza kutoa zile pesa wamekua wakidunduliza kwa mwaka mzima ili tu watimize ile ndoto yao ya muda mrefu kuona Tanzania.

Karibuni majirani kwa wingi. 😄
Ila hakikisheni mnaheshimu na kufuata sheria zetu za nchi.

View attachment 959186

Tanzania ni njema atakaye naaje karibu jirani
 
Na nyinyi mnazuru nchi gani sasa juu ata domestic tourism ni ZERO.
Ile link ya TZ ikiwa na less middle class hapa EAC naona ni real.....mwache kupika data.
Watanzania wanatembelea vivutio vyao kwa wingi kuliko idadi ya wageni toka nje, mind you at least kila mkoa Tanzania una one or two massive national parks close
IMG_2018_12_09_07_24_05.png
 
Back
Top Bottom