joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sisi tunatembelea nchi za SADC ambazo ninyi hadi muombe visa. Tanzania hatuwezi tembelea nchi hatari kwa usalama kama Kenya.Na nyinyi mnazuru nchi gani sasa juu ata domestic tourism ni ZERO.
Ile link ya TZ ikiwa na less middle class hapa EAC naona ni real.....mwache kupika data.