Wakenya waanza kusalimu amri na kukubaliana na Magufuli, waomba Uhuru Kenyatta kuiga mbinu za Magufuli

Wakenya waanza kusalimu amri na kukubaliana na Magufuli, waomba Uhuru Kenyatta kuiga mbinu za Magufuli

Kumekucha


Hakuna kitu Kenya inaficha lakini Tanzania kazi yao Ni kuzika watu usiku.
Kumekucha

ndiyo zenu hizo kina Bashite.
mkikosa hoja mnakimbilia kuwaita wenzenu siyo Watanzania au vibaraka wa mabeberu.
Ukweli unauma, jamaa inaeza kua wewe pengine ni wale askari wa CCM ambao munatumiwa kuangamiza wapingamizi wa ujinga na propaganda za ccm, (assasin) mna ua wasema ukweli. Hiyo roho mbaya inaonekana kupitia maoni yako. Mnachuki na watanzania wanao sema ukweli ama kupinga serikali kiukweli., nenda tetea ccm kwa jukwaa lenyu la news...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo siku lockdown tena? Sasa imekuwa "partial lockdown"? You need to look up the meaning of the word lockdown.

Ni kweli idadi inazidi kuongezeka kwetu na hilo ni wazi. Swali ni je: Aren't there new cases and deaths in Tanzania in the last one week?
I like the way nithis thread has aged. Epic fail, your fellow Tanzanians are the ones telling you how stupid you sound. Lol
 
Uganda wanapima zaidi ya Kenya, lakini hawapati watu wenye virusi, Kenya wanapima watu wachache zaidi lakini wanapata watu wengi wenye virusi kuliko Uganda.

Hivi unaona sifa gani kwa Kenya kushindwa kuimarisha njia na mbinu za kuzuia maambukizi yasizidi kuenea, badala yake unafurahia kupima pekee na kushuhudia idadi ya maambukizi ikizidi siku hadi siku?.

"Ultimate goal" ni kuona idadi inapungua siku hadi siku, sio kujua idadi inaongezeka siku hadi siku. Kenya wanachofanya kinawawezesha kujua kwamba idadi ya maambukizi inaongezeka lakini sio kupunguza maambukizi kama Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona husemi tz wanapima kiasi gani,na wana maambukizi kiasi gani?wee wakazania ke na ug tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom