joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: KDF wapo DRC kutafuta amani ambayo wameshindwa kuirejesha Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
MY TAKE: KDF wapo DRC kutafuta amani ambayo wameshindwa kuirejesha Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa hawajui walitendalo zaidi ya kujipiga kifua na kupenda sifa za kijingaWale wanajeshi wa kdf walioko Congo warejee nyumbani. Maana kimenuka. Sasa utaendaje kuzima moto kwa jirani wakati kwako kukiungua. Hiyo haingii akilini.
kenya yeyu hii mungu tuu ?????MY TAKE: KDF wapo DRC kutafuta amani ambayo wameshindwa kuirejesha Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na Somalia pia walienda kwa tamaa za hela walizopewa ila wakaenda kusambaza ukimwi na kuiba makaa yes makaaSomalia walienda kwa ajili ya kuwaridhisha wamarekani lakini Congo wamefuata madini