Wakenya waanza kutoroka makazi Yao kufuatia kuongezeka kwa mashambulizi ya Alshabaab huko Lamu

Wakenya waanza kutoroka makazi Yao kufuatia kuongezeka kwa mashambulizi ya Alshabaab huko Lamu

Somalia walienda kwa ajili ya kuwaridhisha wamarekani lakini Congo wamefuata madini
 
MY TAKE: KDF wapo DRC kutafuta amani ambayo wameshindwa kuirejesha Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Wale wanajeshi wa kdf walioko Congo warejee nyumbani. Maana kimenuka. Sasa utaendaje kuzima moto kwa jirani wakati kwako kukiungua. Hiyo haingii akilini.
 
Wale wanajeshi wa kdf walioko Congo warejee nyumbani. Maana kimenuka. Sasa utaendaje kuzima moto kwa jirani wakati kwako kukiungua. Hiyo haingii akilini.
Hawa jamaa hawajui walitendalo zaidi ya kujipiga kifua na kupenda sifa za kijinga

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nimuite comrade MK254 labda anaweza kurudi kutoka frontline ya Ukraine kuja kuimarisha ulinzi
 
Somalia walienda kwa ajili ya kuwaridhisha wamarekani lakini Congo wamefuata madini
Na Somalia pia walienda kwa tamaa za hela walizopewa ila wakaenda kusambaza ukimwi na kuiba makaa yes makaa
Jamaa njaa sana hawa
Sasa drc watachakazwa na madini sidhani kama watapata maana huko sio Somalia

Na sasa hao vijana wanalipa visasi tu na msomali vita yake huwa haiishi ukimuonea au ukampiga hakuachi hata miaka 100 atakuja na kumaliza familia yako tu
 
Back
Top Bottom