Wakenya waanza kuuziana chupi kama barakoa

Utapangwa kwa kuvaa barakoa ya chupi sio? Kiingereza sio lugha yako hata ufanyeje wewe nyang'au.
1) Yes, if you are not intelligent enough someone somewhere will take advantage of your ignorance.
2) "Kiingereza" is my language, same to Kiswahili and my mother tongue
 
Nani asikilize biased media propaganda za wa-kenya wenzio juu ya TZ.

Baada ya Uhuru kuua raia 5 wakenya wasio na hatia eti ili ku enforce a failed Covid-19 lockdown campaign.

Mbona hatusikii biased media zikisema juu ya hayo mauaji ya Uhuru?

Mbona hatusikii biased media zenu zikimsakama Uhuru kwa raia masikini wa-Kenya kufa kwa njaa sababu ya a failed lockdown campaign.

Hio mass testing mpaka sasa kati ya wa-kenya million 55 mpaka sasa mmeshafsnya percentage ngapi ya population? au ni sampling rate na sample size gani na kwa geographical spread gani mnafuata? what are the false positives and false negatives rates?

The truth is, nyie hamna strategy yeyote mnafanya testing kiholela tu bila kua na end game objectives. Majaribu ku-buy time wajatibmkisikikizia what's trending around the world.

Believe me, asilimia kubwa ya hao mnaowanyia testing sasa hivi kama wako negative basi baada ya mda mfupi watakua positive!, I will tell you why :

The first lines of defense are individual, familiy level and community level hygiene practices, yaani: USAFI. USAFI. USAFI. Hilo ndio serikali yenu ilitakiwa kuanza nalo kwa msisitizo, unfortunately., usafi ni ustaarabu ambao kwa wa-kenya wengi ni Greek language.

By the way mfumo wa kupambana na Covid-19 ambao TZ inafanya ni similar na ule wa nchi za Sweden, Belarus and countless others.. So we are not alone.

Lastly, huko USA kwa baba yenu Trump na pia huko Ujerumani sasa hivi raia wameanza kuibgia mitaani na silaha wakitaka kupambana na serikali kupinga Lockdown za huko. South Africa nako raia wanalia kwa njaa kama Kenya na raia wameanza vurugu na kufanya looting ktk maduka ya chakula.

Mwacheni JPM na TZ, kiongozi akifikiria na kuona mbali, yes, we are on the right track.

Enjoy the rest of your weekend, stay safe from Corona.

Hii kitu umeiskia???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekujibu kwasababu umenitag jombaa. Nakufahamisha tu, lakini natumai kina dada zetu watakuja kutueleza zaidi. Najua hujatia mguu wako nje ya Tandale ila chupi kwa KES20, labda maigizo. Acha kuwaza uccm 24/7, wahamasishe hawa watz wenzako, ili waache mzaha kwenye suala linalohusu uhai wao.
2344127_IMG_20200321_105725.jpg
hahahhahahahahahhahaaaa ku mamake, katisha
 
Nani asikilize biased media propaganda za wa-kenya wenzio juu ya TZ.

Baada ya Uhuru kuua raia 5 wakenya wasio na hatia eti ili ku enforce a failed Covid-19 lockdown campaign.

Mbona hatusikii biased media zikisema juu ya hayo mauaji ya Uhuru?

Mbona hatusikii biased media zenu zikimsakama Uhuru kwa raia masikini wa-Kenya kufa kwa njaa sababu ya a failed lockdown campaign.

Hio mass testing mpaka sasa kati ya wa-kenya million 55 mpaka sasa mmeshafsnya percentage ngapi ya population? au ni sampling rate na sample size gani na kwa geographical spread gani mnafuata? what are the false positives and false negatives rates?

The truth is, nyie hamna strategy yeyote mnafanya testing kiholela tu bila kua na end game objectives. Majaribu ku-buy time wajatibmkisikikizia what's trending around the world.

Believe me, asilimia kubwa ya hao mnaowanyia testing sasa hivi kama wako negative basi baada ya mda mfupi watakua positive!, I will tell you why :

The first lines of defense are individual, familiy level and community level hygiene practices, yaani: USAFI. USAFI. USAFI. Hilo ndio serikali yenu ilitakiwa kuanza nalo kwa msisitizo, unfortunately., usafi ni ustaarabu ambao kwa wa-kenya wengi ni Greek language.

By the way mfumo wa kupambana na Covid-19 ambao TZ inafanya ni similar na ule wa nchi za Sweden, Belarus and countless others.. So we are not alone.

Lastly, huko USA kwa baba yenu Trump na pia huko Ujerumani sasa hivi raia wameanza kuibgia mitaani na silaha wakitaka kupambana na serikali kupinga Lockdown za huko. South Africa nako raia wanalia kwa njaa kama Kenya na raia wameanza vurugu na kufanya looting ktk maduka ya chakula.

Mwacheni JPM na TZ, kiongozi akifikiria na kuona mbali, yes, we are on the right track.

Enjoy the rest of your weekend, stay safe from Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Liinsha lote hili la nini, sijahangaika kulisoma, hiyo ni audio ya ndugu zako wala haihusu Wakenya, huyo aliyenukuliwa humo hata hakutaka itoke, imevuja tu yenyewe.
 
Naona umetokota sana jomba, punguza jazba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom