Wakenya waanzisha tena chokochoko na majirani zake, yatoa shutuma bila kuwa na ushahidi

Hii ndio sababu kubwa ya Wakenya kushindwa kuelewana na majirani zake, muda wote wao wanahisi kuzungukwa na kutendewa vibaya na majirani zake.

Serikali ya Tanzania ilimtuma waziri wa mambo ya nchi za nje kuwahakikishia kwamba Tanzania inaunga mkono Kenya katika huu uchaguzi, hili la kusema Tanzania, Uganda na Ethiopia hazikuichagua Kenya wamelipata wapi wakati kura ni siri?.

Hivi raia na viongozi wa hizo nchi wakisikia kwamba Kenya inawalaumi bila kuwepo ushahidi huku wakijua kwamba waliichagua Kenya watajisikiaje? Kenya mnategemea mahusiano yenu na hao majirani mnaowashutumu ambao ndio nchi Jirani muhimu sana kwa uchumi na ulinzi na usalama wa nchi yenu yatakuaje siku zijazo? Kamwe hamtoweza kuelewana na majirani wenu, mtaendelea kutengwa kutokana na akili zenu mbovu.

Kenyans React After Neighbors: Tanzania, Uganda and Ethiopia Vote Against Kenya in the UNSC Election
Wewe jamaa na geza ulole wakenya mnawanyoosha sana...
Safi sana, lazima wakae kwenye mstari wanaostahili...
 
Hii ndio sababu kubwa ya Wakenya kushindwa kuelewana na majirani zake, muda wote wao wanahisi kuzungukwa na kutendewa vibaya na majirani zake.

Serikali ya Tanzania ilimtuma waziri wa mambo ya nchi za nje kuwahakikishia kwamba Tanzania inaunga mkono Kenya katika huu uchaguzi, hili la kusema Tanzania, Uganda na Ethiopia hazikuichagua Kenya wamelipata wapi wakati kura ni siri?.

Hivi raia na viongozi wa hizo nchi wakisikia kwamba Kenya inawalaumi bila kuwepo ushahidi huku wakijua kwamba waliichagua Kenya watajisikiaje? Kenya mnategemea mahusiano yenu na hao majirani mnaowashutumu ambao ndio nchi Jirani muhimu sana kwa uchumi na ulinzi na usalama wa nchi yenu yatakuaje siku zijazo? Kamwe hamtoweza kuelewana na majirani wenu, mtaendelea kutengwa kutokana na akili zenu mbovu.

Kenyans React After Neighbors: Tanzania, Uganda and Ethiopia Vote Against Kenya in the UNSC Election
Wa-TZ hatuwapendi Wa-KE vile president wao ako anaongea Kiinglishi sana!
 
Nyie bhana,kila jirani yenu mtamuona adui kama mjaluo anavyomuona mkikuyu adui,sie hata atuwashangai,maana ndio mmekuzwa hivyo,kuchukiana chukiana tu!
Hivi nitajie jirani mmoja wa Tanzania ambaye hamjakotofishana naye.
 
Back
Top Bottom