joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Emancipate yourself from mental slaveryNgugi should have spoken in Kiswahili when taking prize
Kitendo cha Prof. Ngugi wa Thiong'o kutumia lugha ya Gikuyu wakati akipokea tuzo huko Catalonia kimeendelea kushutumiwa na wakenya mbalimbali na kuelezewa kama sehemu ya kuendeleza ukabila ambao umekua ni tatizo kubwa na lakudumu linaloisumbua Kenya.
Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kuona baafhi ya wakenya hapa JF walipongeza kitendo hicho hatari akichokifanya Prof. Ngugi ambaye ni miongoni mwa waasisi wa tatizo la ukabila linaloisumbua Kenya.
Emancipate yourself from mental slavery
Werute **** ukombo-ini wa meciriaFuata nyayo za Ngugi, andika kwa kikuyu hiyo maneno.
Wapumbavu in large numbers hua wanafanya vitu vya kipumbavu sanaNgugi should have spoken in Kiswahili when taking prize
Kitendo cha Prof. Ngugi wa Thiong'o kutumia lugha ya Gikuyu wakati akipokea tuzo huko Catalonia kimeendelea kushutumiwa na wakenya mbalimbali na kuelezewa kama sehemu ya kuendeleza ukabila ambao umekua ni tatizo kubwa na lakudumu linaloisumbua Kenya.
Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kuona baafhi ya wakenya hapa JF walipongeza kitendo hicho hatari akichokifanya Prof. Ngugi ambaye ni miongoni mwa waasisi wa tatizo la ukabila linaloisumbua Kenya.
Werute **** ukombo-ini wa meciria
Hao ni wakenya wenzako ndio wanaosema anaendeleza ukabila kwa kutumia Gikuyu katika International platforms, huko alipaswa kutumia International languages ikiwemo KiswahiliWapumbavu in large numbers hua wanafanya vitu vya kipumbavu sana
Kikuyu ni lugha yake,aongee Kichina,Kizaramo,etc ni lugha its fvcking his business...
Ni personal choice acheni upumbavu....
Angeongea Kingereza msingeongea huu upumbavu....Kaongea Kikuyu then the whole dumb population goes ballistic!
Ukabila ni nini?
Ukabila ni kutokuongea Kiswahili?Ila kuongea Kingereza sio ukabila?Stupid people
Wîrute ûkomboinî wa Meciria 😉Fuata nyayo za Ngugi, andika kwa kikuyu hiyo maneno.
Ang'o marach Kodi Onger pand pieri!Safi, irudie kwa kijaluo sasa...
Ang'o marach Kodi Onger pand pieri!
Wîrute ûkomboinî wa Meciria 😉
[emoji1][emoji1][emoji1] Mimi nimependa tu alivosema, wakenya wachukizwa.. kisha povu lake akaliambatanisha na maoni ya mkenya mmoja.Wapumbavu in large numbers hua wanafanya vitu vya kipumbavu sana
Kikuyu ni lugha yake,aongee Kichina,Kizaramo,etc ni lugha its fvcking his business...
Ni personal choice acheni upumbavu....
Angeongea Kingereza msingeongea huu upumbavu....Kaongea Kikuyu then the whole dumb population goes ballistic!
Ukabila ni nini?
Ukabila ni kutokuongea Kiswahili?Ila kuongea Kingereza sio ukabila?Stupid people
Kuna articles Kama tano zote za Kenya zimelizungumzia hili kwa hasira Sana, ingia Google Search, weka heading ya hiyo article uone jinsi wakenya walivyochukizwa na Ngugi[emoji1][emoji1][emoji1] Mimi nimependa tu alivosema, wakenya wachukizwa.. kisha povu lake akaliambatanisha na maoni ya mkenya mmoja.
Hahaha. Umenoa. Anaitwa Gitobu Imanyara.akili ya wa kenya ni moja,akiwa Raila au Kitovu Gimanyara wote sawa ukabila tu
Jaribu kusoma hiyo article uone jinsi anavyolaumiwa kwa kuendeleza ukabila Kenya. Hakuna tuzo ya Vitabu duniani, hiyo tuzo ya Catolania inatolewa kila mwaka kwa watu wenye kufanya juhudi za kuhifadhi utamaduni na urithi wa asili, yeye ni mtu wa 31 kupewa, japo kuna watu wanaipinga hiyo tuzo kwasababu hilo jimbo la Catolania linataka kujitenga kwa misingi ya ukabila.Ngugi wa thiong'o vitabu zake nyingi ni kwa lugha ya kikuyu. Tuzo alipewa ni ya vitabu zake. Swahili pia lugha ya kabila ya waswahili, ingwa inatumikiwa kama lugha rasmi ya kenya na tanzania.
Mswahili,bajuni ama mijikenda?
wana matatizo sana,mpaka wakistuka watakua wameachwa nyuma sanaHahaha. Umenoa. Anaitwa Gitobu Imanyara.
Hio ni opinion ya huyo mjinga aliyeandika hio nakala akimkejeli Ngugi kwa kutumia lugha yake asili. Kiswahili sio lugha asili ya mtu yeyote isipokuwa waswahili wenyewe. Hata mimi nikitaka naweza kuandika nakala kwa gazeti nikimpongeza Ngugi kwa kutumia lugha yake ya mama. Opinion ya Mkenya mmoja au hata watano bado ni opinion tu. Kuna wakenya wengi tu wanaomsupport Ngugi hata Wakenya ambao sio Wakikuyu. Huu upuzi wa watu kujifanya eti Kiswahili ndio lugha pekee ya waafrika wa Afrika Mashariki lazima ikome. Lazima tuheshimu lugha zetu zote na hatuwezi kudharau lugha zetu za asili eti kwa sababu Watanzania wanadhani kuwa lugha hizo ni takataka. Sisi tunaheshimu lugha zote za kiafrika sio kiswahili tu. Halafu hio kiswahili hata sio ya kiafrika sana kwa sababu imesheheni maneno mengi ya kiarabu. Kiswahili chenyewe pengine asilimia arubaini ni maneno ya kiarabu. Sasa sijui ni nini inakufanya uchukie lugha yako ya asili halafu ukipende kiswahili ambacho ni nusu bantu nusu kiarabu. Hiyo ni hypocrisy.Jaribu kusoma hiyo article uone jinsi anavyolaumiwa kwa kuendeleza ukabila Kenya. Hakuna tuzo ya Vitabu duniani, hiyo tuzo ya Catolania inatolewa kila mwaka kwa watu wenye kufanya juhudi za kuhifadhi utamaduni na urithi wa asili, yeye ni mtu wa 31 kupewa, japo kuna watu wanaipinga hiyo tuzo kwasababu hilo jimbo la Catolania linataka kujitenga kwa misingi ya ukabila.
Off point, tatizo lenu wakenya hampendi kujifunza kwa waliofanikiwa kutokana na kiburi chenu cha kujifanya mnajua kila kitu.Hio ni opinion ya huyo mjinga aliyeandika hio nakala akimkejeli Ngugi kwa kutumia lugha yake asili. Kiswahili sio lugha asili ya mtu yeyote isipokuwa waswahili wenyewe. Hata mimi nikitaka naweza kuandika nakala kwa gazeti nikimpongeza Ngugi kwa kutumia lugha yake ya mama. Opinion ya Mkenya mmoja au hata watano bado ni opinion tu. Kuna wakenya wengi tu wanaomsupport Ngugi hata Wakenya ambao sio Wakikuyu. Huu upuzi wa watu kujifanya eti Kiswahili ndio lugha pekee ya waafrika wa Afrika Mashariki lazima ikome. Lazima tuheshimu lugha zetu zote na hatuwezi kudharau lugha zetu za asili eti kwa sababu Watanzania wanadhani kuwa lugha hizo ni takataka. Sisi tunaheshimu lugha zote za kiafrika sio kiswahili tu. Halafu hio kiswahili hata sio ya kiafrika sana kwa sababu imesheheni maneno mengi ya kiarabu. Kiswahili chenyewe pengine asilimia arubaini ni maneno ya kiarabu. Sasa sijui ni nini inakufanya uchukie lugha yako ya asili halafu ukipende kiswahili ambacho ni nusu bantu nusu kiarabu. Hiyo ni hypocrisy.