joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii ni uthibitisho kwamba Tanzania ni " model country" katika ukanda huu. Baada ya juhudi kubwa zilifanywa na serikali ya awamu ya tano kufufua usafirishaji wa mizigo ya Uganda na South Sudan kupitia bandari ya Dar, jambo lililosababisha WFP kuikimbia bandari ya Mombasa, WFP ukanda wa Kenya imesalimu amri na kuamua kuja kujifunza ili kuboresha utendaji wao wa Kazi. " If you can't fight them, join them". Tanzania hoyeeee.