Wakenya waendelea kutafuna SADC

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
kutana na mKenya Albert Sigei ambaye ni CEO wa Lafarge Malawi, amewahi pia kuwa CEO wa Lafarge Nigeria....



 
Mimi nilifikiri is possessing a lion share of larfage, kumbe ni kibarua anayelipwa mshahara.
[emoji16][emoji23][emoji1787]
tuliza maumivu, Malawi ni kama mkoa hapa Kenya. huyu hapa mwingine....



 
Hehehe!! Waliokomboa Africa wamejifungia ndani kwa umaskini, wanatoka wazamiaji wachache kwenda kubeba mabox kule South japo lugha inawatesa.
Sisi hiyo SADC tutaitafuna mpaka basi.
Wao kikao cha SADC kinafanyika wanaishia matamko ya kisiasa tu, ukiuliza nini wameazimia, mikakati ipi wamebuni, au wamefaidi vipi kwa kikao, hamna cha maana ila nyimbo za kwamba wao ndio walikomboa Afrika na SADC. Hata wauza vinyago au wanabiashara wa mjini hawajafaidi cha maana, zaidi ya wachafu wa Dar kuamriwa waoge na kuvaa nguo zilizonyooshwa.

Kikao kama hicho kingefanyika Kenya, yaani rais Uhuru angehakikisha amekua na vikao vya pembeni na kila rais na kuingia kwenye mapatano fulani fulani.
 

Hahaha! Umebwatuka ukweli.
 
Duu yaani kwa unayoyaongea unafikiri upo katikati ya viunga vya jiji LA Paris lakini kushtuka upo kibera unajisaidia kwenye Rambo.
 
Duu yaani kwa unayoyaongea unafikiri upo katikati ya viunga vya jiji LA Paris lakini kushtuka upo kibera unajisaidia kwenye Rambo.

Paris ndio mwisho wa mawazo yako....
 
Duu yaani kwa unayoyaongea unafikiri upo katikati ya viunga vya jiji LA Paris lakini kushtuka upo kibera unajisaidia kwenye Rambo.
South Africa imwekeza Tanzania zaidi ya kampuni 200, Tz imewekwa kampuni ngapi SA? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
South Africa imwekeza Tanzania zaidi ya kampuni 200, Tz imewekwa kampuni ngapi SA? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukisema uwezo wenu wa akili ni mdogo, mnasema tunawadharau, nchi inafaidia kwa kuvutia uwekezaji ufanyike nchini mwake, sio kwa kupeleka wawekezaji kwenda kuwekeza kwa nchi zingine.

Jifunze Elimu ya uchumi kidogo uweze kuelewa kabla ya kubwatuka, pembe wewe, unajua maana ya FDI?, sasa utapataje FDI kama unafurahia wafanyabiashara wako kwenda kuwekeza nchi zingine?.

Hivi unajua kwanini Kenya "unemployment" inaongezeka wakati ndio nchi yenye makampuni Mengi kuwekeza ktk nchi zingine katika ukanda huu?.
 

inshort hizo nyimbo za ukombozi zipo outdated maana kwa kizazi cha sasa ni kama zipo irrelevant. Kwa sasa ni race za kiuchumi ambazo kizazi kikubwa kilichopo katika serikali yetu hakiijui maana ujamaa mindset zinawatesa. Bad enough wananchi wengi wananunuliwa kwa petty stuffs especially social ones maana wengi ndizo wanazozielewa kwa urahisi kuliko vitu vyenye manufaa makubwa kwa taifa hili.

ubaya hii nchi kubadilika itachukua muda sana maana hata wenye akili hujitenga na siasa au huwa hawapo interested na uongozi. Tuliopita vyuoni tunalijua hili maana ni mara chache wale wenye uwezo kugombea au kupata uongozi na mwisho hao viazi wa vyuoni ndo tunawakuta katika high ranks. Mungu atusaidie
 
Wenye uwezo wa nini wanaojitenga kwa uongozi huko vyuoni?, hivi kufaulu Hesabu, Physics na Biologia ndio uwezo wa Uongozi?, hao akina Obama na Mandela, Nyerere na Sankara, uliza kama walikua brightest katika vyuo. Bill Gate aliamua kuacha chuo baada ya kuona sio muhimu sana ktk maisha halisi, acha kukariri, ishi kwa uhalisia.
 

kwa hiyo kuna sehemu nimesema uwezo wao mdogo upo katika aspect ipi ???.... au unadhani mimi sijui sifa za kiongozi mzuri brother

kiufupi hali ndio hiyo, wengi wanaotokea kwenye vyuoni straight kwenye vyama haswaa hiki kikubwa huwa ni average au below average kabisa na hao ndio hushika uongozi wa nchi hii kirahisi. Ni nadra sana kumkuta mtu smart, charismatic and bold ajihusishe na upuuzi wa buku ten za semina na makongamano ya vyama.
 

Aha haaa
You are worldwide known for being good asylum seekers. It's not happened by choice but chance. You are forced to leave your country because of extreme poverty. You can come here by claiming that you possess a massive number of billionaires, yes which is true. But a good number of you are pushed away from that wealth. Many are starving, but few are enjoying the glory of the land.
Many Kenyans do not feel like staying at their country. You're always thinking on quitting the country. The reason for this is, they feel like are exploited in their own land.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…