Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilaza wa kinyang'au nyang'au.Jf imevamiwa na Vilaza
Hehehe!! Waliokomboa Africa wamejifungia ndani kwa umaskini, wanatoka wazamiaji wachache kwenda kubeba mabox kule South japo lugha inawatesa.
Sisi hiyo SADC tutaitafuna mpaka basi.
Wao kikao cha SADC kinafanyika wanaishia matamko ya kisiasa tu, ukiuliza nini wameazimia, mikakati ipi wamebuni, au wamefaidi vipi kwa kikao, hamna cha maana ila nyimbo za kwamba wao ndio walikomboa Afrika na SADC. Hata wauza vinyago au wanabiashara wa mjini hawajafaidi cha maana, zaidi ya wachafu wa Dar kuamriwa waoge na kuvaa nguo zilizonyooshwa.
Kikao kama hicho kingefanyika Kenya, yaani rais Uhuru angehakikisha amekua na vikao vya pembeni na kila rais na kuingia kwenye mapatano fulani fulani.
Duu yaani kwa unayoyaongea unafikiri upo katikati ya viunga vya jiji LA Paris lakini kushtuka upo kibera unajisaidia kwenye Rambo.Hehehe!! Waliokomboa Africa wamejifungia ndani kwa umaskini, wanatoka wazamiaji wachache kwenda kubeba mabox kule South japo lugha inawatesa.
Sisi hiyo SADC tutaitafuna mpaka basi.
Wao kikao cha SADC kinafanyika wanaishia matamko ya kisiasa tu, ukiuliza nini wameazimia, mikakati ipi wamebuni, au wamefaidi vipi kwa kikao, hamna cha maana ila nyimbo za kwamba wao ndio walikomboa Afrika na SADC. Hata wauza vinyago au wanabiashara wa mjini hawajafaidi cha maana, zaidi ya wachafu wa Dar kuamriwa waoge na kuvaa nguo zilizonyooshwa.
Kikao kama hicho kingefanyika Kenya, yaani rais Uhuru angehakikisha amekua na vikao vya pembeni na kila rais na kuingia kwenye mapatano fulani fulani.
Duu yaani kwa unayoyaongea unafikiri upo katikati ya viunga vya jiji LA Paris lakini kushtuka upo kibera unajisaidia kwenye Rambo.
South Africa imwekeza Tanzania zaidi ya kampuni 200, Tz imewekwa kampuni ngapi SA? 😂😂😂Duu yaani kwa unayoyaongea unafikiri upo katikati ya viunga vya jiji LA Paris lakini kushtuka upo kibera unajisaidia kwenye Rambo.
Tukisema uwezo wenu wa akili ni mdogo, mnasema tunawadharau, nchi inafaidia kwa kuvutia uwekezaji ufanyike nchini mwake, sio kwa kupeleka wawekezaji kwenda kuwekeza kwa nchi zingine.South Africa imwekeza Tanzania zaidi ya kampuni 200, Tz imewekwa kampuni ngapi SA? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe!! Waliokomboa Africa wamejifungia ndani kwa umaskini, wanatoka wazamiaji wachache kwenda kubeba mabox kule South japo lugha inawatesa.
Sisi hiyo SADC tutaitafuna mpaka basi.
Wao kikao cha SADC kinafanyika wanaishia matamko ya kisiasa tu, ukiuliza nini wameazimia, mikakati ipi wamebuni, au wamefaidi vipi kwa kikao, hamna cha maana ila nyimbo za kwamba wao ndio walikomboa Afrika na SADC. Hata wauza vinyago au wanabiashara wa mjini hawajafaidi cha maana, zaidi ya wachafu wa Dar kuamriwa waoge na kuvaa nguo zilizonyooshwa.
Kikao kama hicho kingefanyika Kenya, yaani rais Uhuru angehakikisha amekua na vikao vya pembeni na kila rais na kuingia kwenye mapatano fulani fulani.
Wenye uwezo wa nini wanaojitenga kwa uongozi huko vyuoni?, hivi kufaulu Hesabu, Physics na Biologia ndio uwezo wa Uongozi?, hao akina Obama na Mandela, Nyerere na Sankara, uliza kama walikua brightest katika vyuo. Bill Gate aliamua kuacha chuo baada ya kuona sio muhimu sana ktk maisha halisi, acha kukariri, ishi kwa uhalisia.inshort hizo nyimbo za ukombozi zipo outdated maana kwa kizazi cha sasa ni kama zipo irrelevant. Kwa sasa ni race za kiuchumi ambazo kizazi kikubwa kilichopo katika serikali yetu hakiijui maana ujamaa mindset zinawatesa. Bad enough wananchi wengi wananunuliwa kwa petty stuffs especially social ones maana wengi ndizo wanazozielewa kwa urahisi kuliko vitu vyenye manufaa makubwa kwa taifa hili.
ubaya hii nchi kubadilika itachukua muda sana maana hata wenye akili hujitenga na siasa au huwa hawapo interested na uongozi. Tuliopita vyuoni tunalijua hili maana ni mara chache wale wenye uwezo kugombea au kupata uongozi na mwisho hao viazi wa vyuoni ndo tunawakuta katika high ranks. Mungu atusaidie
Wenye uwezo wa nini wanaojitenga kwa uongozi huko vyuoni?, hivi kufaulu Hesabu, Physics na Biologia ndio uwezo wa Uongozi?, hao akina Obama na Mandela, Nyerere na Sankara, uliza kama walikua brightest katika vyuo. Bill Gate aliamua kuacha chuo baada ya kuona sio muhimu sana ktk maisha halisi, acha kukariri, ishi kwa uhalisia.