Kuna mtanzania flani amechambua data sawasawa na kuonyesha vile chini ya JPM, hio GNI/capita ndo imekua kwa chini zaidi kulinko enzi za JK... Kwahivyo sifa zote zinafaa zimuendee JK kwa kuongeza angalau $200/capita kila miaka mitano, JPM amengeza less than $60
post
Zitto: Mwaka 2015 pato letu lilikuwa USD 1,060, kuingia pato la kati la chini ni 1,090 lengo la nchi ni kufika USD 3,000. Sasa sherehe za nini?
Qoute:
Mimi bhana, sijui lakini kwa kutumia takwimu zile zile za World Bank, narudia narudia tena hapa kwamba kwa takwimu hizo za WB, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na hata corrupt JK Government, was far better compared to JPM.
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine,
kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi!
EndQuote
Zitto: Mwaka 2015 pato letu lilikuwa USD 1,060, kuingia pato la kati la chini ni 1,090 lengo la nchi ni kufika USD 3,000. Sasa sherehe za nini?