Wakenya wakerwa na uchakavu wa ndege zao za kivita

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Wakenya wengi walishangazwa na kulalamika baada ya kuona ndege zinazotumiwa na jeshi lao la anga kuwa ni chakavu sana na ni zile zilizotumia katika vita kuu ya pili ya dunia, na sasa hazitumiki tena duniani. Wengi wameitaka serikali kununua ndege za kisasa ili kuliweka jeshi katika hali nzuri.

Tafadhali angalia hizo ndege, kisha usome "comments ", za wakenya katika hiyo video.
 
Acha kuongea on behalf of Kenyans. You are a nobody
 
Yaani kenya kila kitu ni chakavu,
Majengo yao machakavu,
Watu wa Mombasa wanalalamika uchakavu wa vivuko,
Ndege za keii kuuu nazo chakavu,
Meli za Kenya navy nazo chakavu,
Duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…