joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakenya wengi walishangazwa na kulalamika baada ya kuona ndege zinazotumiwa na jeshi lao la anga kuwa ni chakavu sana na ni zile zilizotumia katika vita kuu ya pili ya dunia, na sasa hazitumiki tena duniani. Wengi wameitaka serikali kununua ndege za kisasa ili kuliweka jeshi katika hali nzuri.
Tafadhali angalia hizo ndege, kisha usome "comments ", za wakenya katika hiyo video.