Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu, kuweka buffer zone kati ya Wajaluo na Wakikuyu na kulazimisha Nchi hiyo kugawanywa kati ya Wajaluo na Wakikuyu kama vile Kosovo na Serbia, ili kuokoa maisha ya wasio na hatia hasa Watoto na Wanawake, kwa maana tumechoka sasa kupatanisha, ...