Wakenya wakichapana tena, dawa yao kuwagawa tu!

Huko mimi ndo home, toka nitoke!
Sawa mkuu itabidi upakkiwe tu kwenye fuso uendeke huko hata kama ni nyumbani ili utoe na mmresho wa kuishi huko alafu wakenya ndio wagauwe..sawa!

Sent from my Y3 using JamiiForums mobile app
 
Mi karibia deile niko huko mbona!
 
Utangoja.....Na mnadhania kuingia Kenya kupeana orders itakuwa Rahisi?? Wamama na Watoto wa Namanga wata charaza JWTZ tusiende hata KDF .....the number of Guns in Civilian hands in Kenya is 10times the number of guns on JWTZ

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app

For that note Kenya will never be safe if individuals are possessing the fire sticks.
 
Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu, kuweka buffer zone kati ya Wajaluo na Wakikuyu na kulazimisha Nchi hiyo kugawanywa kati ya Wajaluo na Wakikuyu kama vile Kosovo na Serbia, ili kuokoa maisha ya wasio na hatia hasa Watoto na Wanawake, kwa maana tumechoka sasa kupatanisha, ...

very good idea...time has come for them kusuluhishana.
 
Yakiisha yatarud yazanzibar kudai nchi yao

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Utangoja.....Na mnadhania kuingia Kenya kupeana orders itakuwa Rahisi?? Wamama na Watoto wa Namanga wata charaza JWTZ tusiende hata KDF .....the number of Guns in Civilian hands in Kenya is 10times the number of guns on JWTZ

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Hili povu zito sana. Ni kichaa pekee anaweza toa povu zito hivi.

Mgambo wa al shabab mmewashinda wakati wanatumia marungu, sime na manati. Sasa ujitutumue kwa Jeshi pendwa la Wananchi wa Tanzania. Iliwanyoosha M23, waliopindua Comoros, Waliopindua Seychelles, Nduli dadaa Idd Amin kwa muda mfupi sana.

Acheni mbwembwe nyingi.
 
Povuuu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Tunampa Nyanza Museveni. ..kuna kila dalili watachapana! Uhuruto wanagomea maamuzi ya mahakama

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Hili povu zito sana. Ni kichaa pekee anaweza toa povu zito hivi.

Mgambo wa al shabab mmewashinda wakati wanatumia marungu, sime na manati. Sasa ujitutumue kwa Jeshi pendwa la Wananchi wa Tanzania. Iliwanyoosha M23, waliopindua Comoros, Waliopindua Seychelles, Nduli dadaa Idd Amin kwa muda mfupi sana.

Acheni mbwembwe nyingi.
Kijiji cha Kibiti..
 
Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu, kuweka buffer zone kati ya Wajaluo na Wakikuyu na kulazimisha Nchi hiyo kugawanywa kati ya Wajaluo na Wakikuyu kama vile Kosovo na Serbia, ili kuokoa maisha ya wasio na hatia hasa Watoto na Wanawake, kwa maana tumechoka sasa kupatanisha, ...

Kwa chuki inayojengeka hapa, ya Kenya yanakuja hapa, matter of time

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu itabidi upakkiwe tu kwenye fuso uendeke huko hata kama ni nyumbani ili utoe na mmresho wa kuishi huko alafu wakenya ndio wagauwe..sawa!

Sent from my Y3 using JamiiForums mobile app
Aisee ngoja ninywe maji kwanza nitarudi kusoma.
 
Wao sababu ni ukabila na sisi siku tukigombana watuwekee buffer zone ya ccm na upinzani?
 
Cha msingi majirani zetu lazima wajue kwamba "KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI" na hilo kila mtu lazima ashike bango/apaze sauti kama ni kwenye mitandao ya kijamii hiyo ndo iwe hashtag yao. [HASHTAG]#MajiraniKunaMaishaBaadaYaUchaguzi[/HASHTAG].
 
Nchi gani walionyoshana hawana dharau? Mbona Somalia ndio ovyo ovyo mpaka mwisho?
Congo ndio usiseme.
Nchi gani sasa nitajie.
Yule mbwa aliewaita wapumbavu ni kwakua tu anaishi ktk ya maiti watembeao ila siku yao ipo yule mbwa atakionq

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom