Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
CHunga maneno yako tu?Unaota wewe,wabunge wameshapitisha finance Bill kitambo saizi ni Ruto kusiani tuu.
Wewe ndio mjinga ambae hujui maisha Yako unategemea jirani
Wabongo wako bize na kina mondi,konde,mwijaku babalevel
Dotto magari mandonga misomisondo tu
Simba yanga na umbea udaku tu
Hayo ndiyo mambo ya msingi wanayofatilia
Ova
CCM ndio wachawi wakubwa wa watanzaniaWakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri.
Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu.
Huku kwetu tulishatishiwa twukimbilie burundi au kuwaishwa fasta kabla ya mkeka wa mtoa roho ujatoka.
Hivi kwa mifumuko ya bei na uchumi kukandamizwa na makodi bodo tuna imili ili.
Issue hii inamgusa na kumsumbua Sana Ruto,,,,Sina hakika kama atakubali i-saini aiseeeeeUnaota wewe,wabunge wameshapitisha finance Bill kitambo saizi ni Ruto kusiani tuu.
Wewe ndio mjinga ambae hujui maisha Yako unategemea jirani
Asiposaini Nchi ita default 😁😁Issue hii inamgusa na kumsumbua Sana Ruto,,,,Sina hakika kama atakubali i-saini aiseeeee
WEWE UTAKUWA UNAISHI KWA DADA YAKO.Wakenya ni wapuuzi tu hawajielewi, sisi watanzania huwezi tukuta kwenye upuuzi kama ule.
Hao mnawasifia wana katiba nzuri ya mfano ila kila siku wapo barabarani nchi inaweza isitawalike uko mbelen
Mtu akiwa busy na Diamond au Yanga inakuzuia nini wewe uliye busy na chadema kuingia mtaani?Wabongo wako bize na kina mondi,konde,mwijaku babalevel
Dotto magari mandonga misomisondo tu
Simba yanga na umbea udaku tu
Hayo ndiyo mambo ya msingi wanayofatilia
Ova
HIVI SHEMEJI YAKO KASHAKULIPIA PESA YA CHUO.Mtu akiwa busy na Diamond au Yanga inakuzuia nini wewe uliye busy na chadema kuingia mtaani?
Maandamano ni ruksa ingia mtaani acha kujificha kwenye mgongo wa wengine
Shg 🌈 wenu noely mzimaMtu akiwa busy na Diamond au Yanga inakuzuia nini wewe uliye busy na chadema kuingia mtaani?
Maandamano ni ruksa ingia mtaani acha kujificha kwenye mgongo wa wengine
kwanza hawaandamani kila saa, ndio wana moja ya katiba bora east africa, why? Ina separation of power. Si rahis kuwa overriden na chama, pili upatakinaji wa viongozi.Wakenya ni wapuuzi tu hawajielewi, sisi watanzania huwezi tukuta kwenye upuuzi kama ule.
Hao mnawasifia wana katiba nzuri ya mfano ila kila siku wapo barabarani nchi inaweza isitawalike uko mbelen
Uko obsessed na mashoga sababu wewe ni mmoja wao.Shg 🌈 wenu noely mzima
Nasikia anawatupia pamba
Ova
Upuuzi mtupu hiyo katiba imewaletea nini na wanalia njaa kila siku?kwanza hawaandamani kila saa, ndio wana moja ya katiba bora east africa, why? Ina separation of power. Si rahis kuwa overriden na chama, pili upatakinaji wa viongozi.
Kuwndamana hakumaanishi wana katiba mbaya, ni ishara ya wananchi wanao jitambua, wana hold serikali kuwa responsible. Si wananchi wa YEs man
Naona nyie mshawazoeanaUko obsessed na mashoga sababu wewe ni mmoja wao.
Una uhakika hawajatafuta solution?Upuuzi mtupu hiyo katiba imewaletea nini na wanalia njaa kila siku?
Wangekuwa wanajitambua wangetafuta solution ya kweli sio kujichosha barabarani. Ukabila unawasumbua
Hakuna jipya Kenya wanatafuta visibility tu kwenye mitandao.Una uhakika hawajatafuta solution?
Bunge wamekaa wameona waje na sera hiyo, umeshawahi kuisoma hiyo sera?
Inaenda kuongeza gharama za maisha mara dufu, kwa hiyo wananchi wakae ndani tu ?
Kwenye hiyo sera viongozi hawatopata shida, ila wananchi itawa cost. Na wao ndio wapiga kura
Ulaya na advancement walizonazo bado watu wanaandamana serikali inapozingua, inamaana ni wajinga?