Wakenya wakifanikiwa kwenye maandamano yao basi watatuona Watanzania wajinga sana kwenye nchi yetu

Wakenya wakifanikiwa kwenye maandamano yao basi watatuona Watanzania wajinga sana kwenye nchi yetu

Hakuna jipya Kenya wanatafuta visibility tu kwenye mitandao.
Kila walichodai wamepata ila maisha yanazidi kuwa magumu.
Sidhani wanafanya all that for show, aint no such thing as for show pale wananchi yanapo washinda na kuingia road
 
Mtu akiwa busy na Diamond au Yanga inakuzuia nini wewe uliye busy na chadema kuingia mtaani?
Maandamano ni ruksa ingia mtaani acha kujificha kwenye mgongo wa wengine

Na hapa ndipo tunapo feli, big time!

Nyani haoni kundule.

Ya kwamba wajinga na mazezeta ni wale ila mimi. Ya kwamba kama vipi waandamane wale si mimi. Ya kwamba kama kufa wafe wale, si mimi.

Kwa hakika yupo aliyeturoga!
 
Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri.

Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu.

Huku kwetu tulishatishiwa twukimbilie burundi au kuwaishwa fasta kabla ya mkeka wa mtoa roho ujatoka.

Hivi kwa mifumuko ya bei na uchumi kukandamizwa na makodi bodo tuna imili ili.

Machawa wa pande zote huwezi kuwaona Kwenye Uzi huu.

Hapa ni mwendo wa kupita juu kwa juu, kimya kimya. Kimoyo moyo wakijisemea:

"Hiiiiiii .. iii ..ii!"

johnthebaptist , imhotep , MK254 mnawakilisha 🤣🤣.
 
Na hapa ndipo tunapo feli, big time!

Nyani haoni kundule.

Ya kwamba wajinga na mazezeta ni wale ila mimi. Ya kwamba kama vipi waandamane wale si mimi. Ya kwamba kama kufa wafe wale, si mimi.

Kwa hakika yupo aliyeturoga!
Sina sababu ya kuandamana nikiwa nayo nitaingia road.
 
Sina sababu ya kuandamana nikiwa nayo nitaingia road.

Hakuna nilipokupinga Bali nakuunga mkono wewe kutokumbagaza awaye yote katika lake analoona ni la maana iwe diamundo, Simba, Yanga au lolote.

Mtu asijifiche Kwenye migongo ya wengine!

Tusilazimishane wala kubagazana. Kulikoni kumlaumu awaye yote kwa lolote wakati kama ulionalo ni jema zaidi wewe hulifanyi?

Tuko pamoja ndugu.

Kila mtu na ajishindie mechi zake!
 
Wamechelewa kuchukua hatua so ngoja wapate moto.

Tanzania hatuhitaji kufika huko.
we mpuuzi
 
Unaota wewe,wabunge wameshapitisha finance Bill kitambo saizi ni Ruto kusiani tuu.

Wewe ndio mjinga ambae hujui maisha Yako unategemea jirani
Rais wa Kenya William Ruto, ameridhia barua ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo Japhet Koome kujiuzulu.Hatua hii inajiri kufuatia mauaji ya vijana wanaojiita 'Gen Z' yaliyofanywa na polisi wakati wa maandamano ya kupinga muswada wa fedha pamoja na yale ya kupinga serikali iliyopo madarakani yaliyoenda kwa takribani majuma matatu.Mara baada ya baadhi ya vijana waandamanaji nchini humo kuuawa kwa kufyatuliwa risasi na polisi huku wengine wakiachwa na majeraha ya risasi, wananchi pamoja na viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya walitoa rai kwa IGP huyo kujiuzulu kwa kile walichokidai kuwa ameruhusu Askari wake kufanya mauaji kwa vijana walioamua kuandamana kwa amani.
GSSl6sFXYAAxOAv.jpg
 
Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri.

Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu.

Huku kwetu tulishatishiwa tukimbilie Burundi au kuwaishwa fasta kabla ya mkeka wa mtoa roho ujatoka.

Hivi kwa mifumuko ya bei na uchumi kukandamizwa na makodi bodo tuna imili ili.
Si Wakenya tu, majirani zetu karibia ya wote wanatuona sie ni maboya tu, tunadanganywa na viongozi vihiyo / vilaza nasi tunakubali kuwa wajinga. Wacha tuchekwe tu.
 
Back
Top Bottom