Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani wanafanya all that for show, aint no such thing as for show pale wananchi yanapo washinda na kuingia roadHakuna jipya Kenya wanatafuta visibility tu kwenye mitandao.
Kila walichodai wamepata ila maisha yanazidi kuwa magumu.
Mtu akiwa busy na Diamond au Yanga inakuzuia nini wewe uliye busy na chadema kuingia mtaani?
Maandamano ni ruksa ingia mtaani acha kujificha kwenye mgongo wa wengine
Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri.
Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu.
Huku kwetu tulishatishiwa twukimbilie burundi au kuwaishwa fasta kabla ya mkeka wa mtoa roho ujatoka.
Hivi kwa mifumuko ya bei na uchumi kukandamizwa na makodi bodo tuna imili ili.
Sina sababu ya kuandamana nikiwa nayo nitaingia road.Na hapa ndipo tunapo feli, big time!
Nyani haoni kundule.
Ya kwamba wajinga na mazezeta ni wale ila mimi. Ya kwamba kama vipi waandamane wale si mimi. Ya kwamba kama kufa wafe wale, si mimi.
Kwa hakika yupo aliyeturoga!
Sina sababu ya kuandamana nikiwa nayo nitaingia road.
VIPI KAULI YAKO KUHUSU KENYAUnaota wewe,wabunge wameshapitisha finance Bill kitambo saizi ni Ruto kusiani tuu.
Wewe ndio mjinga ambae hujui maisha Yako unategemea jirani
Wamechelewa kuchukua hatua so ngoja wapate moto.VIPI KAULI YAKO KUHUSU KENYA
we mpuuziWamechelewa kuchukua hatua so ngoja wapate moto.
Tanzania hatuhitaji kufika huko.
Rais wa Kenya William Ruto, ameridhia barua ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo Japhet Koome kujiuzulu.Hatua hii inajiri kufuatia mauaji ya vijana wanaojiita 'Gen Z' yaliyofanywa na polisi wakati wa maandamano ya kupinga muswada wa fedha pamoja na yale ya kupinga serikali iliyopo madarakani yaliyoenda kwa takribani majuma matatu.Mara baada ya baadhi ya vijana waandamanaji nchini humo kuuawa kwa kufyatuliwa risasi na polisi huku wengine wakiachwa na majeraha ya risasi, wananchi pamoja na viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya walitoa rai kwa IGP huyo kujiuzulu kwa kile walichokidai kuwa ameruhusu Askari wake kufanya mauaji kwa vijana walioamua kuandamana kwa amani.Unaota wewe,wabunge wameshapitisha finance Bill kitambo saizi ni Ruto kusiani tuu.
Wewe ndio mjinga ambae hujui maisha Yako unategemea jirani
Si Wakenya tu, majirani zetu karibia ya wote wanatuona sie ni maboya tu, tunadanganywa na viongozi vihiyo / vilaza nasi tunakubali kuwa wajinga. Wacha tuchekwe tu.Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri.
Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu.
Huku kwetu tulishatishiwa tukimbilie Burundi au kuwaishwa fasta kabla ya mkeka wa mtoa roho ujatoka.
Hivi kwa mifumuko ya bei na uchumi kukandamizwa na makodi bodo tuna imili ili.