joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kule kwetu Rombo kuna hospital kubwa mbili. Wamejazana wakamba pale utadhani hospitali za wakamba....Hili nakubaliana na wewe jamaa yangu wa Botswana alitibiwa JKCI anasema standards ni za ZA kabisa...sishangai ndugu zetu wakenya kuukubali huo ukweli
Wanatibiwa au wanatibu?Kule kwetu Rombo kuna hospital kubwa mbili. Wamejazana wakamba pale utadhani hospitali za wakamba....
Huruma hospital na Ngoyoni hospital..wanakuja wakenya kibao kutibiwa.Kule kwetu Rombo kuna hospital kubwa mbili. Wamejazana wakamba pale utadhani hospitali za wakamba....
WanatibiwaWanatibiwa au wanatibu?
Hapana. Kuna misikitiRombo kuna hospitali?
Kunywa bia sita baridi nakuja kulipaHuruma hospital na Ngoyoni hospital..wanakuja wakenya kibao kutibiwa.
Kumbe na sasa inaongezeka ya 3, Huruma Hospital, Ngoyoni Hospital na Rombo District HospitalRombo kuna hospitali?
Kumbe nawew ni wakwetu?Huruma hospital na Ngoyoni hospital..wanakuja wakenya kibao kutibiwa.
Hebu leta picha tuone! Ninavyojua mimi upande wa Rombo Tanzania una hospitali bora kuliko upande wa Kenya!hospitali ya loitoktok wachaga na wasamba wamejaa humooo!
Weka ushahidi wacha kujitetea, hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuja kutibiwa Kenya, Hospitali zenu hazina hadhi ya kutibu watanzania, poor services, no medicine and poorly educated medical personalshospitali ya loitoktok wachaga na wasamba wamejaa humooo!