Wakenya wakiri kwamba Tanzania ipo mbele katika huduma za Afya, awataka wakenya kuachana na Hospitali za Kenya

Wakenya wakiri kwamba Tanzania ipo mbele katika huduma za Afya, awataka wakenya kuachana na Hospitali za Kenya

Hili nakubaliana na wewe jamaa yangu wa Botswana alitibiwa JKCI anasema standards ni za ZA kabisa...sishangai ndugu zetu wakenya kuukubali huo ukweli
@Teargas, dyfre , @@Tony254 , Don YF , tunaomba tufunge huu mjadala wa Kenya na Tanzania kuhusu huduma za Afya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuko mbele pia katika huduma za kukuza ufisadi katika Taifa.

Hapa Rais anashauri Taifa litafunwe kwa staha🤡🤡🤡
 

MY TAKE: Tanzania hapa Africa katika huduma za tiba katika Public Hospitals hatuna mpinzani
Tony254
Don YF
@komora96
@KEMPAULITE
@Necxine
Tuna mpinzani kwenye upasuaji miguu ya wachezaji. Huoni Yanga wamevumbua hospital za Tunisia? Azamu na simba wao huenda kwa madiba
 
hospitali ya loitoktok wachaga na wasamba wamejaa humooo!
 
hospitali ya loitoktok wachaga na wasamba wamejaa humooo!
Weka ushahidi wacha kujitetea, hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuja kutibiwa Kenya, Hospitali zenu hazina hadhi ya kutibu watanzania, poor services, no medicine and poorly educated medical personals
 
Back
Top Bottom