Wakenya wakosa usingizi kwa kuwaza Tanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Why Kenya is Miles Ahead of Tanzania in the Fight Against Coronavirus
Hii ndio hali ilipofikia kwa jirani wetu, kwamba lazima wajaribu kujiliwaza hata Kama kwake mambo yanaharibika. Japo Kenya idadi ya maambukizi ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, lakini kutokana na tabia ya kujisifu, kwao wanadhani wao bado wapo vizuri ktk kupambana na kusambaa kwa Corona kuliko Tanzania.

Tabia ya kujimwambafy ndio sababu kubwa kunaifanya Kenya kushindwa kujifunza toka kwa anayofanya vizuri, hivyo kuifanya Kenya kuzidi kurudi nyuma kila mwaka.

cc. Tony254

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingereza noma bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi kwanini Uhuru hamsikilizi Ndii? Unajua vitu anavyofanya ni vya ajabuajabu ukiingia internet watu wanalalamika kutokuwapo maji na sanitizer! sasa kama mpaka sasa hajaunda taskforce ni hatari aisee!
 
Hivi kwanini Uhuru hamsikilizi Ndii? Unajua vitu anavyofanya ni vya ajabuajabu ukiingia internet watu wanalalamika kutokuwapo maji na sanitizer! sasa kama mpaka sasa hajaunda taskforce ni hatari aisee!
Mgelimsikiliza zitto hamgelikurupuka kufanya vitu vya ajabu ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini Uhuru hamsikilizi Ndii? Unajua vitu anavyofanya ni vya ajabuajabu ukiingia internet watu wanalalamika kutokuwapo maji na sanitizer! sasa kama mpaka sasa hajaunda taskforce ni hatari aisee!
Wakenya uwezo wao wa akili ni mdogo Sana, Ndii hawawezi kumuelewa amewazidi Sana, si unaona mwenyewe jinsi wakenya wanavyojibu hoja hapa JF, hiyo inakupa picha halisi ya nchi ya Kenya ilivyo yote, wana very low IQ hawa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Alafu hio link ulio ileta ni summary haina content yeyote, nitakusaidia kwa ku post original article ya Ndii, enda ukaisome vizuri
Open Letter to President Uhuru Kenyatta


Hapo amesema sababu kuu ya Germany kutokua na vifo vingi licha ya wao kua na kesi nyingi za corona ni kua Germany wako na ICU beds nyingi kushinda Italy na France...

Ukiangalia takwimu za vifo, Ni kweli kwamba Germany iko na vifo vichache licha ya kua na kesi nyingi za corona kuliko nchi kama France na Italy.






Lakini ukitafuta hizo data za ICU per 100,000





USA iko na vitanda vingi vya wagonjwa mahututi kuliko nchi yoyot ile lakini tayari wengi wamekufa kuliko Germany, Alafu ukiangalia hapo Italy ni ya tatu duniani kwa kuwa na vitanda vingi vya ICU mbona wamekufa wengi zaidi ya nchi nyengine duniani? na vipi China ambao wako nyuma ya Italy na Spain kwa vitanda, mbona wameweza ku contain usambazaji na vifo???

David Ndii aliangalia na akachagua kutumia huo mfano wa Germerny na Italy maksudi kwasababu ulikua unaendana na hoja yake ambayo alikua anataka kuonyesha kwamba Kenya haina vitanda vya kutosha kwa wagonjwa mahututi. Hii ndo maana hua napenda kuambia watu mkisoma taarifa zengine hata ziwe zimeandikwa na nani, soma kisha ufikirie mwenyewe (think for yourself! mungu alikupa akili), kama mtu ametaja kitu flani chunguza kivyako kama ni kweli, usikue una download habari tu na kuamini kila kitu kwasababu alie andika ni mtaalam, unaweza kua manipulated hadi ukaamua kuua kakako kwasababu mtaalam alisema hivyo ndo sawa kulingana na takwimu zake.


Na saa zengine uache kuwashwa na pilipili usio ila, David Ndii alikua anakashifu Kenya.... sasa wewe unacheka kwasababu anakashifu uongozi na serekali ya Kenya kana kwamba hali ni shwari Tanzania....... Mimi hua nawaambia kila siku, Tanzania hamna wanahabari, hamna watu jasiri walio na akili ya kuchunguza na kuuliza maswalimuhimu kwa serekali ya siku mumeachia hio kazi kwa viongozi wa upinzani, wanasiasa ambao wako na malengo yao.


Tanzania iko na ICU kidogo kuliko Kenya.
Tanzania iko na hospital beds kidogo kuliko Kenya..
Lakini hautaona mwanahabari yeyote huko TZ ana thubutu kuuliza maswali muhimu kama hayo ambayo Ndii anauliza , kazi yao ni kuripoti ni yepi ambayo magu ametamka leo.




------
Lakini kwa upande mwengine, na support hayo mawaidha ya Ndii ya kwamba Serekali ikabe matumizi na ifutilie mbali mipango kadhaa ya kiserekali ambayo si muhimu kwa sasa hadi serekali ibaki na angalau $1B ambazo zitatumika kwa economic stimulus program baada ya janga la corona kuisha ili kufidia wanabiashara na kufufua viwanda, ma kampuni na uchumi kwa jumla.Yani hizi $1B itakua ni pesa zinaenda kwa mikononi mwa watu na biashara ili warudi kwa hali ilio sawa baada ya kufilisishwa na matukio yanayofanyika sasa....
 
cc. Geza Ulole

Njoo soma uone ni jinsi gani David Ndii alivyowapita kwa mbali Sana hawa jamaa. Soma jinsi Ndii alivyotoa ushauri mzuri wa namna ya kuunda kamati mbali mbali za kitaifa kama alivyounda Magufuli jana, na ulinganishe na huyu chizi anayezungumzi ICU, mara vitanda vya wagonjwa, mara idadi ya Hospitali, mara Ndii anatukana serikali ya Kenya. Hawawezi kumuelewa Ndii hata siku moja hawa, very low IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzako wanaweza uchaguzi tu ndo maana wanakurupuka kila jambo
 
Alafu utawisikia wakisema, wakiwa wamebana pua, ooh tutaipiku Kenya ni muda tu. JNIA ndio baba lao, JKIA bado sana na KQ kwa ATCL lazima wataisoma namba. Eti na mahakama za Kenya ni upuuzi tu Tz ndio mwalimu wao, esigiara yetu sio kama yao flyover zetu ndio bab kubwa. Barabara zetu ni bora zaidi, tunaonewa na mabeberu. Mara sijui nyang'au hana demokrasia aje ajifunze kwa Jiwe bla bla bla bla bla. Kiswahili 'murefuuu' kama kawa.
 
Uzi unazungumzia Kenya ila wajinga wa kikunya wameanza kujilinganisha na nchi zingine badala wajadili kilichomo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Low thinking capacities haifai.
 

Yaani tunakaa hapa tunaamini data anazotoa Mawe na timu yake!?

Fvck me!
 
Watanzania tunataka kujua IQ ya nyani ni ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…