Wakenya wakosa usingizi kwa kuwaza Tanzania

Sisi hununua tani millioni sita kutoka Uganda, mkiamua kukosesha wakulima wenu faida kwa kutbania ni wakulima wenu ndo watateseka, sisi tutabeleka hela zetu kwa mwengine ambaye atatuuzia.. Money talks!
Lengo ni kukuonyesha kwamba, tunachakula cha ziada, hatuna shida ya chakula.

Jambo moja hamtaki kufikiria nje ya box ni kwamba, Tanzania hatuhitaji wala kutegemea soko la East Africa, ukiona tumeiza chakula katika nchi za EA, jua hiyo nchi imeomba tuwauzie, sisi soko letu hili hapa Tanzania’s bean exports feed 10 countries

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wanatamani wangekuwa wa nne kwenye jedwali hii. Wanapenda sana kujifananisha na Waengereza. Kisa kisungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The level ofor desperation from this Tangatanga fool !
#Akilizahandshake#
 
The level ofor desperation from this Tangatanga fool !
#Akilizahandshake#
I thought huwa una support wakenya kama hawa Geza kwavile huwa wanapenda kukashifu kila jambo linalotendwa na GoK, what happened, ama ni vile leo kataja Tanzania vibaya 😛😛
 
Hivi unajua kua Kenya ndo largest exporter wa legumes Africa? Legumes ni beans, peas, peanuts, french beans , clover, soya beans, tamarind...etc






OEC - Legumes (HS92: 0708) Product Trade, Exporters and Importers



Lakini kama nilivyokwambia hapo awali, biashara ya export ni biashara kati ya Mkulima, broker na mnunuzi.... mkulima atauzia yule anayelipa vizurii na atakayempelekea faida, haimaanishi eti mkiuzia watu nje ya nchi basi mmetosheleza soko la ndani......
Kwahivyo hata ulete ripoti gani, haitageuza wale walio na njaa Tanzania
 
Hahahaha, kumbuka kwamba Kenya ilikua ni nchi ya pili duniani kuexport Tanzanite next to India wakati Tanzanite hupatikana Tanzania pekee?.

50% of your legumes comes from Tanzania, mnachokifanya ni kuyaweka katika mifuko midogo na kubandika brands za Kenya na Kupeleka nje ya nchi.

Si mnalalamika kwamba nchi yenu ni jangwa hamna ardhi ya kutosha ya kuzalisha chakula, vipi unataka kusema mnazalisha kwa wingi legumes kuliko Tanzania?, hiyo ardhi imepatikana wapi ghafla? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua kwanini idadi ya wagonjwa kule Uganda na Kenya zinazidi kuongezeka lakini hapa Bongo namba ni ile ile 13.

Nina mashaka na takwimu za kibongo
 
Huku Kenya najua wakulima ambao huuza vitunguu na Tomatoe kwa kampuni zinazo peleka Europe alafu supplier hao hao hununua tomatoe na vitunguu kutoka TZ na kuwauzia wakenya..... Hio yote ni biashara kama vile nilivyokwambia hapo awali...... wakulima huuzia yule mtu anae lipa pesa nyingi...

Tofauti kati ya Tz na Kenya kwa watu maskini ni kwamba Tanzania kuna maskini wengine ambao hawana uwezo wa kunua chakula, lakini kwasababu wako na shamba na mvua inanyesha, wanaweza kupanda mahindi, mihogo, mboga au kufuga mbuzi, ngombe na wakapata lishe kutoka hapo.....
Lakini kwa Kenya, kwavile mashamba yenye rotuba ni kidogo na karibia 70% ya ardhi ni jangwa,unakuta mahali kama Wajir au Turkana maskini ambae hana uwezo wa kununua chakula hawezi hata kupanda chochote, hata akichimba kisima cha maji kina kauka.

Kwahivyo hata kama leo hii tutang'oa miti ya kahawa, chai, maua na tupande vyakula kama mahindi na tuzalishe chakula kitakacho tosheleza kenya, yule maskini wa Turkana bado atakua hana uwezo wa kununua hicho chakula na atabaki kulala njaa, hii ndio maana nimekwambia hata unionyeshe mara ngapi kwamba TZ inazalisha chakula kingi, bado haiwez kufuta ile ripoti ya World bank niliokuletea ambayo inaonyesha TZ iko na watu wengi walio na njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…