Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue

Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue

Vodacom ni ya makaburu na hawaaminiki kwenye uwekezaji. Buy their shares at your own risk kwani hawana asset yoyote hapa kwetu kama TBL, crdb tanga cement, nmb nk.
Vodacom ni ya Waingereza Vodafone (major shareholder) uache majungu!
 
acha kujidanganya wew huku vodacom wateja wengi wapo vijijini huku vodacom si mtandao unaotamba kama ufikiriavyo.....vodacom haina wateja wengi kama tigo na airtel na sasa hivi kuna halotel

unapoongea uchunguze kama kwenu mtandao unaoongoza ni safaricom basi huku vodacom ni mtandao wakawaida sana una wababe wake
Kweli kabisa mkuu. Siku wakiuza Hisa, kampuni ya tigo ndio utajua mtandao upi? Unapendwa Tanzania. Tatizo lililopo vodacom ina wateja wengi wa vijijini na sisi wa mjini tunatumia mara chache sana lakini Tigo ndio habari ya mjini. Watu wote wa mjini wanatumia tigo na ndio kwenye pesa ukilinganisha na iyo vodacom. Wateja wengi ni wa vijijini wenye kuweka pesa Mara chache tofauti n tigo
 
Vita ya kupiga vita maendeleo haijawahi kumuachavmasikini salama.. Nawaza kwa sauti.
 
Nilisikia Safaricom ni mchanganyiko na Vodafone
Raia wa England anamiliki 40% ya Shares za Safaricom na nyingine ni makampuni. Makapuku wa Kenya wao wamebaki kushangilia Wananume wenye pesa zao. Maana huyo Raia wa England kaoa mdada wa Kenya, naona wanashabikia Dada yao anavyopigwa Pumbu {Bolo}
 
wakenya mimi huwaga nawaitaga mataila wa dunia hawatupagi shida sababu tushawajua....
Tatizo Wakenya wao, Ubeberu wa waingereza wanajilinganisha nao. Muingereza anapenda kazi za ofisini. Na wakati zishapitwa sasa ivi, kazi za ofisini zina ujira mdogo ukilinganisha na za mashambani, ufugaji, uchimbaji madini, uvuvi na nyinginezo. Angalia wajerumani wanafanya kazi za kilimo, ufugaji na za viwandani na uchumi upo vizuri sana,
Wakenya wamebaki kushabikia wawekezaji wa nje na wakati maisha magumu hata chakula cha ugali kuupata ni ngumu sana
 
Vodacom ni ya Waingereza Vodafone (major shareholder) uache majungu!
Nazungumzia vodacom Tanzania ambayo haina asset na wanaweza kutoroka na pesa za watu kama hizi benki zinazofilisika kila kukicha. Ttcl wakiuza hisa tutanunua kwa wingi.
 
Nazungumzia vodacom Tanzania ambayo haina asset na wanaweza kutoroka na pesa za watu kama hizi benki zinazofilisika kila kukicha. Ttcl wakiuza hisa tutanunua kwa wingi.
Vita ya kiuchumi haijawahi kumuacha masikini salama. Bado nawaza kwa sauti.
 
Mkiambiwa kuna tofauti kubwa kati yetu manakataa, mnabisha na kutukana. Mkenya akiona fursa, huifuata kwa nia, akili, uwezo na nguvu zote, lakini Mtanzania anaishia kununa na kuwa mwoga mwoga kwa kila hatua, anaishia kuwa na maneno mengiiiiiii.

Vodacom ya Tanzania walitangaza uuzaji wa hisa, naona kwenye taarifa hadi wameongeza muda wa makataa/deadline yao ili walau wapate Watanzania watakaonunua hadi ziishe. Wakati nakumbuka kipindi Safaricom walitangaza hisa zao, Wakenya walipitiliza kwa asilimia 532%

Halafu ukizingatia hisa za Safaricom zilikua zaidi ya maradufu ya hizo mnazouziwa na Vodacom.

Hebu muachie Wakenya hizo za Vodacom huko, muone tutakavyotiririka na kuzifagia asubuhi kabla saa nne muda wa chai.

Adviser rules out Vodacom Tanzania oversubscription

UPDATE 2-Kenya's Safaricom IPO oversubscribed by 532 pct
tatizo la kampuni za nje ni makanjanja mguu nje mguu ndani kwa nchi yetu wasije kutuachia kilio cha DESi,angalia mikata yao ndo utaona stupidy zamana
 
Why once again do you keep proving my point that you ujamii fellows are not entrepreneurs.
So you do not want to make money in another country since its not your own? Explains why there are countable Tanzanian businesses in Kenya and the region.
We will continue to dominate you until you change your mindset.
NSE is older but DSE is no where near catching up on anything. In any case, NSE is growing faster than DSE.
Europeans dominate Kenyans. Most of companies from the so called Kenya are Europeans.
 
Europeans dominate Kenyans. Most of companies from the so called Kenya are Europeans.

What about the Kenyans one that dominate the region?
Nakumatt, KCB, Equity, Sportpesa, I&M etc.
Look for another excuse my friend.
 
Ndugu zetu hawa walikaririshwa mambo ya ujamaa kwa miaka yote hii na athari zake zimegoma kuwatoka, wanashuku na kununia kila kitu.

Tatizo nyie wakenya mmelazimishwa kutumia mtandao mmmoja sasa kwann msiibiwe kwa huohuo mtandao huku mnajiona wajanja was kununua his a...
Tz kuna mitandao zaid ya minne na yote INA nguvu MTU unachagua unachokitaka tens kwa being nafuu...so hisa za vodacom cyo kila mtanzania anunue ila atakayependa bei na jinsi ilivyojitanua katika kutengeneza faida ili ukinunua his a upate faida....Tz kuna watumiaji simu m40 hao wote wamegawanyika Vida,,airtel,,tigo,,halotel,,zantel,,ttcl so watz hawawezi kukurupuka kununua his a voda tuu wakat mitandao ni mingi...
Nyie Kenya ndo malimbukeni ya mtandao mmoja kwanini msiibiwe na kununua hisa za kampuni moja wote,,,,,Mtasubiri sana wakenya na sifa za kijinga
 
Anxiety As Vodacom Listing At Dar es Salaam Stock Market Is Delayed

pic+vodacom.jpg


Dar es Salaam — The listing of the Vodacom Tanzania PLC to the Dar es Salaam Stock Exchange, which had been scheduled for June 12, has been further delayed, causing anxiety to some of the investors who had bought shares during the Initial Public Offering.

The IPO ended on May 11 and subsequent listing on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) and Vodacom was supposed to be trading at the bourse by now.

"It's been too silent since the IPO ended. As an investor, I need to know what is going on but neither the company nor the regulator is updating us about the progress," said one of the investors who refused to be named here.

The company said, however, it was just awaiting regulatory approval to go ahead with listing.

"We are awaiting Capital Markets and Securities Authority's approval of the final register and eventual listing of Vodacom shares on the DSE. We look forward to welcome our new shareholders to the Vodacom family," said Vodacom managing director Mr Ian Ferrao in response to queries from The Citizen.

Orbit Securities, a lead transaction advisor for the Sh476 billion IPO, echoed Vodacom's sentiments saying it is still awaiting approval of the share register from the CMSA.

"Things are going on well and investors should not worry at all. It will be ready soon," said Juventus Simon, Orbit Securities general manager.

CMSA was not available for comment on the progress.

More than 40,000 Tanzanians bought shares in the initial public offering, Vodacom said at the close of the deal.

Shares sold through the Vodacom Tanzania IPO were first due to be listed on May 16, but this was postponed to June 12 following a three-week extension of the offer.

The Vodacom Tanzania IPO, priced at Sh850 per share, is billed the largest public offering in in the history of IPOs, giving its handlers a headache.

"Due to the sheer volume of applications and the size of the Vodacom Tanzania IPO, it has taken slightly longer than initially anticipated to ensure all applications could be processed and to ensure the creation of new central securities depository (CSD) account numbers for the many first-time investors in the DSE," the telco said in a statement.

National Bank of Commerce, the receiving bank for the offer, struggled to reconcile funds received from multiple stock brokers and investment banks, Vodacom said.

Tanzania's eight telcoms are racing to comply with a new law passed in June last year which demands that all domestic mobile telephone providers issue at least 25 per cent of their shares on the Dar-es-Salaam Stock Exchange.

Vodacom is Tanzania's market leader controlling 31 per cent of the market share by the end of 2016.

Close Vodacom IPO to end markert anxiety
 
Back
Top Bottom