Wakenya walivyo edit mjengo wa Khaligraph na kuonekana kama Mall

Wakenya walivyo edit mjengo wa Khaligraph na kuonekana kama Mall

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
Jamaa kajipinda kuhakikisha anakuwa na mansion ya Kweli na Bi.mkubwa anajisikia faraja na mashabiki kufurahia matunda yake. Lakini imekuwa negative kwa mashabiki wake.

20241111_211757.jpg
20241111_211746.jpg
 
haters atleast kwa mpambanaji yeyote hizi ndo sifa unazotakiwa pata maaana life was never easy at all
 
sema jamaa naye mshamba, unaweza kuwa na pesa lakini haujui kuenjoy, sasa hiyo ni nyumba ya kuishi familia au godown/ frame za shopping mall? Nyumba haina mandhari ya familia kabisa
Tuma ya kwako uliyojenga tulinganishe
 
Back
Top Bottom