Wakenya walivyo edit mjengo wa Khaligraph na kuonekana kama Mall

Wakenya walivyo edit mjengo wa Khaligraph na kuonekana kama Mall

Bora huyu wa kenya kajenga ghorofa,ila huyu wetu domo anaona madale kamaliza,eti anakaa nyumba moja na mama yake
Duh kwa hiyo ukiolewa naye hutaki kukaa na Mama mkwe? Namna gani Kamanda!
 
sema jamaa naye mshamba, unaweza kuwa na pesa lakini haujui kuenjoy, sasa hiyo ni nyumba ya kuishi familia au godown/ frame za shopping mall? Nyumba haina mandhari ya familia kabisa
Siku ukigundua purpose ya maisha hautaumiza kichwa na ya wengine. Kiufupi kama muundo wa hiyo nyumba alioutaka, aliupenda na anaufurahia basi ndio Furaha yake hiyo.

Ukiwa bize kwenye maisha kusikiliza nikifanya hivi watu watasema hivi utachelewa.
 
Back
Top Bottom