sema jamaa naye mshamba, unaweza kuwa na pesa lakini haujui kuenjoy, sasa hiyo ni nyumba ya kuishi familia au godown/ frame za shopping mall? Nyumba haina mandhari ya familia kabisa
Siku ukigundua purpose ya maisha hautaumiza kichwa na ya wengine. Kiufupi kama muundo wa hiyo nyumba alioutaka, aliupenda na anaufurahia basi ndio Furaha yake hiyo.
Ukiwa bize kwenye maisha kusikiliza nikifanya hivi watu watasema hivi utachelewa.