Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wewe jinga kabisa......hiyo bunduki sio ya kitoto kama hizo toy za kwenu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]eti security....bure kabisaView attachment 954694
Mkuu, jeshi lenyu likinunuliwa SCAR-FN, ni tag mara hiyo hiyo! 🤣 🤣 🤣

Kaangalie, German Counter terrorism unit, SAS, na wengine wanatumia issue gani ya rifle alafu uje uniambie! 🤣
 
35 Most Elite Special Forces Around The World

Hii list wakinionesha Kenya special forces nitag kiongozi.... Waulize ubora wao wamepiga mission gani
Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996–1999), MONUA in Angola (1997–1999), and UNTAET in East Timor (1999–2001).

LATEST: DRC, Congo - 2021
 
Ndio maana nimesema Kenyans are primitive. Hivi kwa ulimwengu huu wa technology unataka uwe na physical bullet proof!?
Our security is more digitized siyo securities zenu za kishamba.
Hivi unajua bullet detector devices. Unajua kazi zake!?

Kenya is a primitive country.
Gunshot locators hamna! 🤣 🤣 🤣
Hizo hapo chini 👇

Screenshot_20210430_181224.jpg


Screenshot_20210430_181159.jpg


IMG_20210430_182938.jpg
 
Ndio maana nimesema Kenyans are primitive. Hivi kwa ulimwengu huu wa technology unataka uwe na physical bullet proof!?
Our security is more digitized siyo securities zenu za kishamba.
Hivi unajua bullet detector devices. Unajua kazi zake!?

Kenya is a primitive country.
A system that detects and conveys the location of gunfire or other weapon fire using acoustic, vibration, optical, or potentially other types of sensors, as well as a combination of such sensors.
 
Usiwe na akili utupu, hiyo ni random list, sio ati imepangwa kulingana na ubora wao.
NB;German Counter terror special police unit is more advanced technically & use more advanced weaponry than your so called 'special forces'... Go check for more facts! Ati mko juu ya...? 😂 😂 😂 😂 😂
Pwaah,tunaongelea special force unaleta habari za police terror,ushalewa chang'aa nini hapo kibera!
 
Naona unajitekenya mwenyewe, Special forces iliwahi kutumwa Congo mbali na hao wanajeshi unaowajua wa UN. Ndiyo baada ya operesheni yao wakapewa Namba 27 miongoni mwa special forces bora duniani. Walipomaliza kazi yao waliondoka.

Hebu tutajieni wenu hao wanaovaa kama wazibua vyoo, walifanya operesheni gani ya hatari. Au ya kuchukua biskuti
Hahaha, wewe number 27 sio kitu. Hiyo post naijua. Post ya jamaa ameweka list, unafikiri UN kaandika hiyo post.? 😂 😂 😂 India wenyewe hamwawezi! 🤣
 
Pwaah,tunaongelea special force unaleta habari za police terror,ushalewa chang'aa nini hapo kibera!
Na ndio nimekupa comparison ya special forces wenyu na polisi wa kijerumani, kumaanisha bado sana, hata wanajeshi wao siwezi kuwalinganisha na nyie, itakuwa nawaonea sana! 🤣🤣🤣
 
hahahaha huyu msee ananijazz bana so ur special force is better than german??, I knw kenya we have 2 groups of special forces, 1 that trains in US and another one in Israel but bado hawajafikia germany hata kidogo
Huyo nimemwachia counter terrorism ya German, tena polisi ata sio wanajeshi. Tena hawawafiki hata kidogo. Itakuwa jeshi lao wajerumani wale,! 🤣 🤣 🤣
 
Kwa wale wa Senge ambao ilikua ndo mara yao ya kwanza kuona Frequency jammer kwa mortocade ya rais wao....

Hizi gari mbili hua utaziona kwa motorcade ya Uhuru, mara kwa mara..... Hapa hua zimezibwa ili usianze kuuliza maswali mengi

View attachment 955505


Angalia vizuri, Utaona Counter assault team hapo ndani ya hilo gari la Kwanza, Tofauti na hao wa Tz, hawa jamaa hua hawatoki ndani ya hilo gari kihlela, mara nyingi hata hutajua kama wako..

View attachment 955510


View attachment 955515


Hapo nimeweka mshale mwekundu angalia signal jammer ikiwa haijafunikwa

View attachment 955521

View attachment 955523


White ni gari la Rais, Red ni signal jammer
View attachment 955525

View attachment 955536


Hapa unaiona ikiwa karibu kabisa
View attachment 955542

View attachment 955544






Funzo la siku ni kwamba watu waache ushamba na vitu vya kawaida!!!!!
😂 😂 😂
 
Auto correct gani wewe, sema ukweli ushafeli ukipayuka hapo. Ndo maana nawaambiaga mwache kukurupuka ka hujui kitu! 🤣 🤣 🤣

Kwa akili yako, unaamini kwamba huyo MWAMBA hajui United Nations.
 
Mkuu, jeshi lenyu likinunuliwa SCAR-FN, ni tag mara hiyo hiyo! 🤣 🤣 🤣

Kaangalie, German Counter terrorism unit, SAS, na wengine wanatumia issue gani ya rifle alafu uje uniambie! 🤣
Ila ww jamaa unautani ..

Ukitazama iyo picha hao jamaa wameshika FN F2000 ni riffle za kupambana haswaa

Na kama wameweza kununua FN F2000 je unafikiri watashindwa kumunua izo FN SCAR ? To me kuna uwezekano mkubwa tu izo FN SCAR zipo ndani tu
 
Back
Top Bottom