Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wewe jinga kabisa......hiyo bunduki sio ya kitoto kama hizo toy za kwenu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]eti security....bure kabisaView attachment 954694
Mkuu, jeshi lenyu likinunuliwa SCAR-FN, ni tag mara hiyo hiyo! 🀣 🀣 🀣

Kaangalie, German Counter terrorism unit, SAS, na wengine wanatumia issue gani ya rifle alafu uje uniambie! 🀣
 
35 Most Elite Special Forces Around The World

Hii list wakinionesha Kenya special forces nitag kiongozi.... Waulize ubora wao wamepiga mission gani
Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996–1999), MONUA in Angola (1997–1999), and UNTAET in East Timor (1999–2001).

LATEST: DRC, Congo - 2021
 
Gunshot locators hamna! 🀣 🀣 🀣
Hizo hapo chini πŸ‘‡





 
A system that detects and conveys the location of gunfire or other weapon fire using acoustic, vibration, optical, or potentially other types of sensors, as well as a combination of such sensors.
 
Usiwe na akili utupu, hiyo ni random list, sio ati imepangwa kulingana na ubora wao.
NB;German Counter terror special police unit is more advanced technically & use more advanced weaponry than your so called 'special forces'... Go check for more facts! Ati mko juu ya...? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Pwaah,tunaongelea special force unaleta habari za police terror,ushalewa chang'aa nini hapo kibera!
 
Hahaha, wewe number 27 sio kitu. Hiyo post naijua. Post ya jamaa ameweka list, unafikiri UN kaandika hiyo post.? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ India wenyewe hamwawezi! 🀣
 
Pwaah,tunaongelea special force unaleta habari za police terror,ushalewa chang'aa nini hapo kibera!
Na ndio nimekupa comparison ya special forces wenyu na polisi wa kijerumani, kumaanisha bado sana, hata wanajeshi wao siwezi kuwalinganisha na nyie, itakuwa nawaonea sana! 🀣🀣🀣
 
hahahaha huyu msee ananijazz bana so ur special force is better than german??, I knw kenya we have 2 groups of special forces, 1 that trains in US and another one in Israel but bado hawajafikia germany hata kidogo
Huyo nimemwachia counter terrorism ya German, tena polisi ata sio wanajeshi. Tena hawawafiki hata kidogo. Itakuwa jeshi lao wajerumani wale,! 🀣 🀣 🀣
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Auto correct gani wewe, sema ukweli ushafeli ukipayuka hapo. Ndo maana nawaambiaga mwache kukurupuka ka hujui kitu! 🀣 🀣 🀣

Kwa akili yako, unaamini kwamba huyo MWAMBA hajui United Nations.
 
Mkuu, jeshi lenyu likinunuliwa SCAR-FN, ni tag mara hiyo hiyo! 🀣 🀣 🀣

Kaangalie, German Counter terrorism unit, SAS, na wengine wanatumia issue gani ya rifle alafu uje uniambie! 🀣
Ila ww jamaa unautani ..

Ukitazama iyo picha hao jamaa wameshika FN F2000 ni riffle za kupambana haswaa

Na kama wameweza kununua FN F2000 je unafikiri watashindwa kumunua izo FN SCAR ? To me kuna uwezekano mkubwa tu izo FN SCAR zipo ndani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…