Wakenya wametukomalia kwa kufanya vibaya Olimpiki

Wakenya wametukomalia kwa kufanya vibaya Olimpiki

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Dongo letu wabongo,siongei sana nawawekea video mtizame wenyewe tunavyojadiliwa kuhusu ushiriki wetu wa Olympic pariii

Ova
 
Timu yetu ya Olympic ilifika uwanja wa ndege wa kimataifa hakuna mtanzania aliyekwenda kupokea hiyo timu
 
Tengeneza uchumi kwanza. Olimpiki itajitengeneza yenyewe.

Utakimbia Olimpiki ukiwa na njaa?
 
Kwani lazima kufanya vizuri kila sehemu 🤔 mbona wao wamepotea kabisa kwenye ramani ya soka na sisi tuko mbali sana kuliko na hatupigi kelele
 
Back
Top Bottom