Wakenya bwanaππ. Polisi wamekamata mama na mwanae wa kike wakiwa na Sniper Riffle, Uzi sub machine gun, bastola na risasi kadhaa wakiwa katika uwanja wa mbio za Farasi huko Dagoreti, Nairobi
Maza sijui ni kucheza game za GTA kwa sana alitaka a practise in real life au vipiπππππ