joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; R.I.P. king Solomon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi tuweke hii thread ikae ktk bookmark kwenye hii sub-forum.
MY TAKE; R.I.P. king Solomon
Ukabila kama kawaida yenuChezea wajaluo wewe[emoji1787][emoji1787]
MY TAKE; R.I.P. king Solomon
Kwhyo we unakataa km hyo sio mjaluoUkabila kama kawaida yenu
Wewe ni mkikuyuKwhyo we unakataa km hyo sio mjaluo
Nipe tofauti kati ya huyuChezea wajaluo wewe[emoji1787][emoji1787]
Hapana mi Msukuma wa chatoWewe ni mkikuyu
Wakenya wengi walikuwa wanampenda Magufuli na wtz wengi wanampenda Uhuru Kenyatta dunia ina maajabu hiiWakenya wanampenda sana Magufuli.
Watz wengi wanampenda magufuli hata huyo Kenyatta hawana habari nayeWakenya wengi walikuwa wanampenda Magufuli na wtz wengi wanampenda Uhuru Kenyatta dunia ina maajabu hii
Sisi hatujuani wala kutajana kwa makabila yetu, huyo ni mkenyaKwhyo we unakataa km hyo sio mjaluo